Course inayofaa zaidi kati ya hizi tatu

Course inayofaa zaidi kati ya hizi tatu

ushahd

Senior Member
Joined
Jul 30, 2019
Posts
176
Reaction score
104
Habari zenu wana jamii forum,samahan nimechaguliwa katika round ya nne ya application na nimepata vyuo vitatu sijaconfirm naomba ushauri wenu kozi ipi kati ya hizi inaweza kufaa zaidi kwa upande wa ajira

1.Bachelor science in Business communication and information technology chuo MOCU
2.Bachelor of procument and logistics management Chuo IAA
3.bachelor of Arts in project planning and management chuo Mwenge

Naombeni ushauri niconfirm course ipi kati ya hizo yenye fursa za ajila
 
soma yoyote maana hata ukimaliza

hutopata kazi kwa course yoyote kati ya utayoichagua

kwa akili hizo,utakujaga kuangukia biashara tu.
 
Thanks kwa ushauri wako
 
Soma hiyo no 1 inaweza kukusaidia hata nje ya mfumo wa ajira. Kwa tunakoelekea itakufaa wewe na jamii ya wakati huo
 
Habari zenu wana jamii forum,samahan nimechaguliwa katika round ya nne ya application na nimepata vyuo vitatu sijaconfirm naomba ushauri wenu kozi ipi kati ya hizi inaweza kufaa zaidi kwa upande wa ajira

1.bachelor science in Business communication and information technology chuo MOCU
2.Bachelor of procument and logistics management chuo IAA
3.bachelor of Arts in project planning and management chuo MWENGE

Naombeni ushauri niconfirm course ipi kati ya hizo yenye fursa za ajila
Bora usome namba moja, hizo nyingine utakuja kulia baada ya chuo
 
Habari zenu wana jamii forum,samahan nimechaguliwa katika round ya nne ya application na nimepata vyuo vitatu sijaconfirm naomba ushauri wenu kozi ipi kati ya hizi inaweza kufaa zaidi kwa upande wa ajira

1.bachelor science in Business communication and information technology chuo MOCU
2.Bachelor of procument and logistics management chuo IAA
3.bachelor of Arts in project planning and management chuo MWENGE

Naombeni ushauri niconfirm course ipi kati ya hizo yenye fursa za ajila
Soma namba moja hyo.. ni nzur
 
Back
Top Bottom