Couple of the year...

Babu ajiandae kulea wajukuu atakaozalishiwa na wakware watakaopiga hiyo ngoma...
 
Mabint wengi uolewa na wazee ili wapte mali coz wanajua tayar washazeeka wataridhi zile mali.
 
Inaonekana binti kalazimishwa kuolewa na babu, sura yake inaonesha ana hasira.
 
Isijekuwa Baba ake, na wala si Mumewe
 
Tamaduni za kihindi hizo kuchaguliwa mume usiyemtaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…