Counter attack

Capt Nemo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2015
Posts
1,445
Reaction score
681
Ama kweli ukitaka kushinda game basi hakikisha mpira unakuwa kwenye half ya mpinzani. Iko hivi:

Jamaa alipanda daladala na kwa bahati akakuta siti ya watu wawili amekaa mdada mmoja mrembo.. akajisogeza na kuketi. baada ya dakika kama tatu jamaa akaanza kuchombeza, mdada wa watu akam-ignore..jamaa hakukoma akatia neno tena, sister du kimya.. mara ya tatu akaanza..."sorry sister unajua......" basi demu akamkatiza kwa sauti kuubwa iliyoenea kote kwenye basi..." he! we kaka vipi, mbona unakuwa msumbufu hivyo? we badala ukae kimya unaanza kusumbua watu tu! NIKOME!!! abiria wote wakageuka pande hiyo.

Jamaa naye kitendo bila kuchelewa akarusha "nikome? we ndo ukome kujambajamba hovyo. Hii mara ya tatu unaachia nakuvumilia tu, still nakwambia unaanza kujifanya mkali, wacha kutoa mishuzi yako, ebooo!

Kilichofuata ni mdada kuropoka kwa konda "shusha hapo" sehemu ambayo haina kituo!!!!
 
haha ha hii inaitwa counter attack
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…