Kimbakuli JF-Expert Member Joined Jul 11, 2013 Posts 410 Reaction score 437 Jul 10, 2014 #1 Habari Wakuu, Mwenye ufahamu na gharama na kupata line ya airtelmoney naomba anifahamishe pls. Thanks
Habari Wakuu, Mwenye ufahamu na gharama na kupata line ya airtelmoney naomba anifahamishe pls. Thanks
Kimbakuli JF-Expert Member Joined Jul 11, 2013 Posts 410 Reaction score 437 Jul 11, 2014 Thread starter #2 guys, mpo wapi bana, mbona km wanajukwaa hampo active leo, no respons@ all, naomben msaada wa kujuzwa hili p'se wadau
guys, mpo wapi bana, mbona km wanajukwaa hampo active leo, no respons@ all, naomben msaada wa kujuzwa hili p'se wadau
pleo JF-Expert Member Joined Jun 20, 2013 Posts 3,611 Reaction score 3,049 Jul 11, 2014 #3 Matendo Andrew said: Bei 3,50,000/= wasiliana hapa 0714 045 080. Click to expand... mpigie umuulize bei halisi, mi nimesahau mawani nyumbani nimeshindwa kusoma.
Matendo Andrew said: Bei 3,50,000/= wasiliana hapa 0714 045 080. Click to expand... mpigie umuulize bei halisi, mi nimesahau mawani nyumbani nimeshindwa kusoma.
tindikalikali JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 4,854 Reaction score 1,149 Jul 11, 2014 #4 Kimbakuli said: Habari Wakuu, Mwenye ufahamu na gharama na kupata line ya airtelmoney naomba anifahamishe pls. Thanks Click to expand... mi ninazo kama una laki moja nipm
Kimbakuli said: Habari Wakuu, Mwenye ufahamu na gharama na kupata line ya airtelmoney naomba anifahamishe pls. Thanks Click to expand... mi ninazo kama una laki moja nipm
Matendo Andrew JF-Expert Member Joined Apr 1, 2014 Posts 750 Reaction score 367 Jul 11, 2014 #5 Kwa kuzipata kutoka kwa mtandao husika ni vigumu mno vinginevyo uwe na MTU pale. Lakini nyingi zinapatikana mitaani kwa watu walio fulia hata hivyo bei zao ni kati ya laki 5 na milioni. Fanya utafiti au kwa njia rahisi wapigie mtandao husika..
Kwa kuzipata kutoka kwa mtandao husika ni vigumu mno vinginevyo uwe na MTU pale. Lakini nyingi zinapatikana mitaani kwa watu walio fulia hata hivyo bei zao ni kati ya laki 5 na milioni. Fanya utafiti au kwa njia rahisi wapigie mtandao husika..
Kimbakuli JF-Expert Member Joined Jul 11, 2013 Posts 410 Reaction score 437 Jul 11, 2014 Thread starter #6 Pleo km unazngua ivi hahahaa.. bt anywy kwny jamii lazma muexist watu km nyie pia, Thanks 2Tindikali, Matendo n' Others
Pleo km unazngua ivi hahahaa.. bt anywy kwny jamii lazma muexist watu km nyie pia, Thanks 2Tindikali, Matendo n' Others