Umemshika pabaya imebidi akunje mkia. Hawa watu BALAAA! Yaani kuelewa vitu za msingi imewashinda, wao ni kutupa tu maneno bila ya kuthibitisha usawa/ukweli wake.Then you shouldn't have jumped to using stats that don't exist...
For you to increase your performance from 650K to 1m TEUs that would be a 53% increase in container handling in one year! That would be the highest rate of increase for any major port in the world!
Mind you there was a decrease in exports from mineral companies this year because of your policy changes... So what could possibly lead to such a huge increase ???? Or are you just day dreaming
Evidence?Umemshika pabaya imebidi akunje mkia. Hawa watu BALAAA! Yaani kuelewa vitu za msingi imewashinda, wao ni kutupa tu maneno bila ya kuthibitisha usawa/ukweli wake.
650k TEUS ni idadi ambayo MOMBASA port ili-handle miaka karibu kumi iliyopita [emoji23][emoji88]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuonyeshe iyo barabara na SGR stations pia sisi tuone?Ila nilichogundua Tanzania ni nchi ambayo tunafanya mambo yetu Kwa ukubwa na ubora zaidi ya Jirani zetu, yaani we take Advantage of their weaknesses, mfano Barabara ya njia nane wao njia sita, SGR Station kubwa na bora kabisa than yao, BRT ya kisasa zaidi wenzetu hawana hiyo, yaani kiufupi KUTANGULIA SI KUFIKA
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaona utofauti, ndio tunazijenga na we tuonyeshe zenu na Brt ndio hiyoTuonyeshe iyo barabara na SGR stations pia sisi tuone?
Mkuu usiongelee ukubwa wa stations, ongelea ubora wa reli, speed na ukisasa wa train, nishati itakayo tumika, cost yake, mgawanyo wa kujengwa kwake, upatikanaji wa pesa. Yani pointi zote tume wafunika. Sisi ni kaka zao lazima tuwaonyesha jinsi kazi zinavyo fanywa.Ila nilichogundua Tanzania ni nchi ambayo tunafanya mambo yetu Kwa ukubwa na ubora zaidi ya Jirani zetu, yaani we take Advantage of their weaknesses, mfano Barabara ya njia nane wao njia sita, SGR Station kubwa na bora kabisa than yao, BRT ya kisasa zaidi wenzetu hawana hiyo, yaani kiufupi KUTANGULIA SI KUFIKA
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu usiongelee ukubwa wa stations, ongelea ubora wa reli, speed na ukisasa wa train, nishati itakayo tumika, cost yake, mgawanyo wa kujengwa kwake, upatikanaji wa pesa. Yani pointi zote tume wafunika. Sisi ni kaka zao lazima tuwaonyesha jinsi kazi zinavyo fanywa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Renders zinakaa drawing.....mkimaliza kujenga kuja Na real pics.Unaona utofauti, ndio tunazijenga na we tuonyeshe zenu na Brt ndio hiyoView attachment 983214
Sent using Jamii Forums mobile app
Renders zinakaa drawing.....mkimaliza kujenga kuja Na real pics.