We mbuzi wa kibera unataka kubisha kama Tanzania ndio ina bwawa kubwa la umeme hapa Afrika mashariki na kati!?ππ povu la nini sasa? mbona unaandika kwa hisia kali namna hiyo? kwa hiyo sasa nikuamini ww instead kwa kuharahara with no tangible or credible sources/ data?
jitafakari sana... Kenya sio level yako.
wapuuzi hawa. hawana akili, ndio maana Kenya iko 30yrs mbele. yaani walipo saa hii, ndio Kenya ilikua 1990
Naona mko 30+ years mbele yetu ndio maana mnalipisha ushuru kwenye madaraja na highway,ndio maana mna jointed railway ya SGR karne hii,ndio maana mna diesel locomotives kwa sgr karne hii,ndio maana mlituomba msaada wa dawa za TB mwaka huu,ndio maana mnaandamana kwa kukosa ugali,ndio maana raia wenu huja JKCI kutibiwa moyo kwa gharama nafuu.ππ povu la nini sasa? mbona unaandika kwa hisia kali namna hiyo? kwa hiyo sasa nikuamini ww instead kwa kuharahara with no tangible or credible sources/ data?
jitafakari sana... Kenya sio level yako.
wapuuzi hawa. hawana akili, ndio maana Kenya iko 30yrs mbele. yaani walipo saa hii, ndio Kenya ilikua 1990
Unabishana na watu hawana hata BRT, Electric trains wala luxurious marine vessels π€£π€£π€£We mbuzi wa kibera unataka kubisha kama Tanzania ndio ina bwawa kubwa la umeme hapa Afrika mashariki na kati!?
Kenya mna bwawa kubwa kuliko la nyerere??
Unataka kubisha kama JKCI ndio kitengo kikubwa cha moyo kinachomilikiwa na serikali huu ukanda???
Unataka kubisha kama Kigogo-Busisi daraja la urefu wa 3+kilometres ndio daraja refu ukanda huu!?
Unakaa unadanganyana na huyo mbung'o mwenzako eti TZ inawa copy ninyi,wapuuzi kweli nyie.
imagine bro.... hawa ndio watu wanaoleta ubishi wa kijinga na kipumbavu humu ndani.Kenya IPO juu,
Bajeti ya Kenya,mapato yake, ni, sawa, na mapato ya tz,Uganda, Rwanda, Burundi, and South sudani,kwa, pamoja.
Kipato cha mkenya kwa mwaka, ni sawa na kujumlisha mapato ya mtz, mganda, Rwanda, burundi!
poa brathee... huku wanamkatikia rais wao mauno haswa! π€£π€£π€£π€£π€£Correction, Uhuru has used the SGR on three occasions, Aliporudi kutoka Mombasa pia alitumia SGR lakini hakuna picha zilizopigwa, kuna mfanyikazi mmoja ndo alifanyikiwa kumpiga picha aliposhuka kituo cha Nairobi
Endelelea kujitekenya halafu ucheke mwenyewe [emoji16]imagine bro.... hawa ndio watu wanaoleta ubishi wa kijinga na kipumbavu humu ndani.
check hizi data kisha uniambie kama wana akili timamu au wamechizika [emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 3074253
View attachment 3074254
jamaa tumewapiga bao sana... aliye na macho haambiwi tazama [emoji116]
View attachment 3074255
View attachment 3074256
Data gani unataka wewe?
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Data gani unataka wewe?
Pia takwimu ni za nini ilhali vitu vinajionesha???
Au unataka tukuletee takwimu zenu zisizoendana na uhalisia!?π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
unataka nikubembeleze kuleta takwimu za aina yoyote? we jamaa ni mbuzi sana... ungekua ushaleta kitambo sana.Au unataka tukuletee takwimu zenu zisizoendana na uhalisia!?
vitu vinajionesha???
mkuu.. apo kwa kusifiasifia is a big No!Sisi Watanzania hatuwezi biashara sijui tukoje! Sijui tuibinafsishe kwa Wakenya? Kwenye kusifia Rais mkuu huo siyo uchawa tu bali ni upumbavu! Na hao nao utafikri hawana vichwa! Hivi ukiwazuia inakuwaje?
Unazikwepa post zangu kwasababu unajua zinasema ukweli.unataka nikubembeleze kuleta takwimu za aina yoyote? we jamaa ni mbuzi sana... ungekua ushaleta kitambo sana.
a reason why huwa mara nyingi i choose to ignore your posts ni kuwa the truth is so obvious but munapenda kuzunguka mbuyu, going back and forth.
chagua chochote unachohitaji tujadili nikubane hadi ulie kama panya na ujue hakuna kuhamisha magoli wala usiseme hivi π
what about food security Ldc. talk to meUnazikwepa post zangu kwasababu unajua zinasema ukweli.
Aya mimi nataka tujadili mambo machache tu.
1)Food security.
2)General social services.
3)Living costs.
Tuanze na Food security.