Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
Kweli mkuu huyu kadogosa mm nishmkataa mama sijui kwann anambembeleza yani katupiga kalenda mpaka tumechokaa na kingine kwa jinsi navyomjua jpm vizuri hasinge vumilia huu ujinga wa vichwa na behewa chakavuGeza ukiona watu wanamsema mama kua ni dhaifu usione kama wote wanaosema ni sukumaG. Inshu kama hizo za trein na mabehewa ilibidi aonyeshe kweli yeye ndo top. Anashindwa nini kuwaajibisha hao watu? Ata ujenzi kuchelewa ilibidi kadogosa na team yake yote wasiwepo ofisini hadi sasa. Malaika na kupenda kwake sifa sizani Kama angekubali kununua mabehewa na train yaliyochoka. Kama kweli unaishi Tanzania suala la watu kufoji documents kwa maslahi yao sio geni. Kama walibadilisha report ya CAG watashindwa nini kubadilisha documents za TRC ili kumwangushia jumba bovu malaika? Na ukizingatia rais ni (mdebwedo) wa maamuzi magumu
Ivi wewe kwa akili yako unazani Masanja anapo ongea ni maamuzi yake binafsi?? Huyo ni mkurugenzi na pia jua kuna bodi...Kweli mkuu huyu kadogosa mm nishmkataa mama sijui kwann anambembeleza yani katupiga kalenda mpaka tumechokaa na kingine kwa jinsi navyomjua jpm vizuri hasinge vumilia huu ujinga wa vichwa na behewa chakavu
Ndio wapigww chini pamoja na bodi mbona bodi nyingi zimefunjwa tuu kwani kaziIvi wewe kwa akili yako unazani Masanja anapo ongea ni maamuzi yake binafsi?? Huyo ni mkurugenzi na pia jua kuna bodi...
Ndio wapigww chini pamoja na bodi mbona bodi nyingi zimefunjwa tuu kwani kazi
Yapi Merkezi tayari wapo behind the schedule SGR Moro-Makutupora segment! Ukiangalia vizuri hii corridor ina provisions zote ku-speed up ujenzi yaani ipo karibu na MGR kusaidia mobilization and all needed to enhance faster construction! Tatizo ni Yapi Merkezi haibanwi ipasavyo kufuata given timetable na agreement. Wanaajiri wafanyakazi wachache.Yaani sijui chifu anasubilia nini hapo trc kuwabadilisha bana. Mbona tanesco na mashirika kibao wameondolewa,, anashindwa nini kwa hao reli? Kaondoa waziri kamuacha mkurugenzi na bodi au ilikua chuki binafsi kwa waziri?
Wewe uelewa wako ni mfupi sana. Nimewai kumsikia mtu mmoja akilalamika juu ya mkandarasi wa kichina SINOHYDRO kupewa tena kandarasi uku ya mwanzo ikiwa bado haijakamilika. Akujua kuwa hiyo kampuni tatizo ni ulipaji wa pesa. SINOHYDRO wamekuwa wakandarasi wavumilivu ndio maana wakapewa kandarasi nyingine. Kwenye SGR pia kuna tatizo la kuto kulipa pesa kwa wakati. Kadogosa hawezi sema kuna ucheleweshaji wa pesa. Airport na Vingunguti watu bado hawajalipwa fidia. Unataka kusema tatizo ni Kadogosa??Ndio wapigww chini pamoja na bodi mbona bodi nyingi zimefunjwa tuu kwani kazi
Wako behind the schedule kwa sababu serikali haitoi pesa kwa wakati. Sio kila kitu lazima muambiwe. Kivuko cha airport na vingunguti ujenzi hujaanza kutokana na kucheleweshwa kwa fidia. Kuna kampuni za ujenzi za lot 1 zimejiondoa kwenye SGR kutokana na kucheleweshwa kwa pesa. Jiulize kwanini Lot 2 imeenda haraka kuliko lot 1 kwenye ujenzi?Yapi Merkezi tayari wapo behind the schedule SGR Moro-Makutupora segment! Ukiangalia vizuri hii corridor ina provisions zote ku-speed up ujenzi yaani ipo karibu na MGR kusaidia mobilization and all needed to enhance faster construction! Tatizo ni Yapi Merkezi haibanwi ipasavyo kufuata given timetable na agreement. Wanaajiri wafanyakazi wachache.
Acha ujinga wewe bodi ngapi zinavunjwa hapa bongo ndio itakua iyo ya trc juzi juzi tu hapa bodi ya tanesco imevunjwa kwaiyo tatizo lilikuwa la nani acha kutetea ujingaWewe uelewa wako ni mfupi sana. Nimewai kumsikia mtu mmoja akilalamika juu ya mkandarasi wa kichina SINOHYDRO kupewa tena kandarasi uku ya mwanzo ikiwa bado haijakamilika. Akujua kuwa hiyo kampuni tatizo ni ulipaji wa pesa. SINOHYDRO wamekuwa wakandarasi wavumilivu ndio maana wakapewa kandarasi nyingine. Kwenye SGR pia kuna tatizo la kuto kulipa pesa kwa wakati. Kadogosa hawezi sema kuna ucheleweshaji wa pesa. Airport na Vingunguti watu bado hawajalipwa fidia. Unataka kusema tatizo ni Kadogosa??
Mm nashangaa alafu kuna mtu anatetea huu ujinga anafurahi akiona miradi inacheleweshwaYaani sijui chifu anasubilia nini hapo trc kuwabadilisha bana. Mbona tanesco na mashirika kibao wameondolewa,, anashindwa nini kwa hao reli? Kaondoa waziri kamuacha mkurugenzi na bodi au ilikua chuki binafsi kwa waziri?
kwani tender kubwa kama hizi unadhani hazitakiwi kuonyesha uwezo wa kuendeleza mradi pindi mteja anachelewa kulipa? Au unataka kusema wanalipwa kwa certificates? Hapana bwana kuna uzembe mahali na IMHO ni usimamizi wa TRC!Wako behind the schedule kwa sababu serikali haitoi pesa kwa wakati. Sio kila kitu lazima muambiwe. Kivuko cha airport na vingunguti ujenzi hujaanza kutokana na kucheleweshwa kwa fidia. Kuna kampuni za ujenzi za lot 1 zimejiondoa kwenye SGR kutokana na kucheleweshwa kwa pesa. Jiulize kwanini Lot 2 imeenda haraka kuliko lot 1 kwenye ujenzi?
Jamaa hajatetea kina kadogosa, anachosema ni hao kina kadogosa wanafanywa scapegoat tu ila tatizo lipo juu, kwasababu kwa akili ya haraka haraka tu kwnn hawafukuzwi kama kweli tatizo lipo kwao? Kulipa watu kwa wakati au kulipa fidia au ujenzi kwenda slow hilo ni tatizo la mkurugenzi?Mm nashangaa alafu kuna mtu anatetea huu ujinga anafurahi akiona miradi inacheleweshwa
compensation ishalipwa! Pitia clipWako behind the schedule kwa sababu serikali haitoi pesa kwa wakati. Sio kila kitu lazima muambiwe. Kivuko cha airport na vingunguti ujenzi hujaanza kutokana na kucheleweshwa kwa fidia. Kuna kampuni za ujenzi za lot 1 zimejiondoa kwenye SGR kutokana na kucheleweshwa kwa pesa. Jiulize kwanini Lot 2 imeenda haraka kuliko lot 1 kwenye ujenzi?
electrical SGR Morogoro-Dodoma-Makutupora; 86% done and counting...
Yapi Merkezi tayari wapo behind the schedule SGR Moro-Makutupora segment! Ukiangalia vizuri hii corridor ina provisions zote ku-speed up ujenzi yaani ipo karibu na MGR kusaidia mobilization and all needed to enhance faster construction! Tatizo ni Yapi Merkezi haibanwi ipasavyo kufuata given timetable na agreement. Wanaajiri wafanyakazi wachache.
Yah naelewaa pia serikali kuna tatizo la ucheleweshaji wa malipo ila iyo haiwapi immunity ya kutowajibishwa, sanasana kwwnye ili suala la oda ya kwanza ya vichwa vya treni na behewa kucheleweshwaJamaa hajatetea kina kadogosa, anachosema ni hao kina kadogosa wanafanywa scapegoat tu ila tatizo lipo juu, kwasababu kwa akili ya haraka haraka tu kwnn hawafukuzwi kama kweli tatizo lipo kwao? Kulipa watu kwa wakati au kulipa fidia au ujenzi kwenda slow hilo ni tatizo la mkurugenzi?
huwa nasema upumbavu meaning foolishness na si mpumbavu an individual! Discuss the topic at hand na si ujifanye kuleta individuality hapa!Kwa hiyo nini kifanyike Geza Ulole? Uongozi wa kuwasimamia upo,, Bodi ipo. Ndo maana tunaomba chifu awapangie kazi nyingine uko ateuwe watu wengine. Na ikimpendeza mteuaji basi kwenye hiyo team mpya na wewe Geza uwemo. Ila upunguze maneno yasiyo na stara au tumia tafsida kwa baadhi ya maneno. Mpumbavu sio tusi ila sio neno zuri kulitumia kila mara usiwe kama malaika
Wako behind the schedule kwa sababu serikali haitoi pesa kwa wakati. Sio kila kitu lazima muambiwe. Kivuko cha airport na vingunguti ujenzi hujaanza kutokana na kucheleweshwa kwa fidia. Kuna kampuni za ujenzi za lot 1 zimejiondoa kwenye SGR kutokana na kucheleweshwa kwa pesa. Jiulize kwanini Lot 2 imeenda haraka kuliko lot 1 kwenye ujenzi?
Hizo treni zilinunuliwa 2020 under the nose ya Malaika period.Geza ukiona watu wanamsema mama kua ni dhaifu usione kama wote wanaosema ni sukumaG. Inshu kama hizo za trein na mabehewa ilibidi aonyeshe kweli yeye ndo top. Anashindwa nini kuwaajibisha hao watu? Ata ujenzi kuchelewa ilibidi kadogosa na team yake yote wasiwepo ofisini hadi sasa. Malaika na kupenda kwake sifa sizani Kama angekubali kununua mabehewa na train yaliyochoka. Kama kweli unaishi Tanzania suala la watu kufoji documents kwa maslahi yao sio geni. Kama walibadilisha report ya CAG watashindwa nini kubadilisha documents za TRC ili kumwangushia jumba bovu malaika? Na ukizingatia rais ni (mdebwedo) wa maamuzi magumu