Za tazara mlijenga ngapi, ama bado mnatumia zile zile za kitamboBado unahangaika,
Pambaneni na hilo la cargo maana huko ndo kwny faida kubwa,hakuna sababu ya kuvunja hizo station buda kama muda ukifika na kuona maeneo hayo husika yanahitaji stesheni kubwa kwa wkt huo,ni kuzibadilishia matumizi tu, zinaweza pia kuwa offices tu kwa ajili ya kusupport operations,huko katikati kuna plenty of land buda na uzuri wa huku kwetu ardhi ni mali ya serikali,hivi umeshapita kwny youtube au kusafiri?!,angalia station za wenzetu za katikati kwny miji midogo hawana mbwembwe kabisa na bado nyingine ziko krb na makazi ya watu kwny baadhi ya nchi structure zao unakuta ni steel na poles plus platform game over mfano mdogo tu angalia gautrain,hapo S.A pamoja na kuhodhi world cup, we unafikiri kwa population yao na volume ya uchumi wao hawakuwa na uwezo wa kujenga structures kubwa, simply waliangalia economic viability, abiria wanakaa labda maximum masaa mawili tu kwa siku tena abiria wenyewe wa kuhesabu baada ya hapo ni patupu kbs, cost ya ujenzi, maintainance mlima, ni wastage of resources tu maana msipofanya hivyo yataozea huko, kibaya zaidi ni pesa ya mkopo tena ni mkopo wenye masharti magumu kweli kweli,sifa za kijinga,mtapambana na hali yenu.I'm done.Endeleeni kutiana ujinga.
Bado unahangaika,

SubutuGeza Ulole weka picha za Dar Port in that manner Kama hapo juu [emoji115][emoji115][emoji115]
What's subutu?Subutu
Wuuue boss unakuanga umeivia hii sector sana,,Nitapost hapa kwasababu inahusiana na SGR.....
Kwa wale wanao fikiri ni bandari zao pekee ndo zinapanuliwa..
Mombasa port berth number 21 -- iliomalizwa kujengwa 2017...
2018 ilipoanza kufanya kazi
Mwanzo wa mwaka huu 2nd Container terminal (aka berth 22) ilianza kujengwa hapo kando ya Berth 21, Sasa inaonyesha wamepiga hatua kubwa
Vifaa vipya navyo vililetwa
View attachment 1258730View attachment 1258732View attachment 1258731
Yani libandari linaelekea kua jibandari likubwa sana!!!!! Ukifikiria eti Lamu ita take over, fikiria tena! By the time Lamu imefika Berth 32, Mombasa itakua ilifikia berth 40!
View attachment 1258748
View attachment 1258749
Google itWhat's subutu?
Google it
And then why no synergy with Kenyan transporters?Nitapost hapa kwasababu inahusiana na SGR.....
Kwa wale wanao fikiri ni bandari zao pekee ndo zinapanuliwa..
Mombasa port berth number 21 -- iliomalizwa kujengwa 2017...
2018 ilipoanza kufanya kazi
Mwanzo wa mwaka huu 2nd Container terminal (aka berth 22) ilianza kujengwa hapo kando ya Berth 21, Sasa inaonyesha wamepiga hatua kubwa
Vifaa vipya navyo vililetwa
View attachment 1258730View attachment 1258732View attachment 1258731
Yani libandari linaelekea kua jibandari likubwa sana!!!!! Ukifikiria eti Lamu ita take over, fikiria tena! By the time Lamu imefika Berth 32, Mombasa itakua ilifikia berth 40!
View attachment 1258748
View attachment 1258749
We are undergoing a transport/logistics revolution, obviously the process cannot go without challenges. Don't think your situation will be different.And then why no synergy with Kenyan transporters?
Wakifanya mzaa jamaa wa Mombasa Republic watarudi! Let the market price decide na si kulazimisha watu! I see a sabotage towards the infrastructure if this issue left unattended!Hii shughuli nzito aisee, jamaa wa Mombasa hawataki kusikia habari ya SGR...
Wanaolazimishwa kutumia sgr wako wapi..walete tuwaoneWakifanya mzaa jamaa wa Mombasa Republic watarudi! Let the market price decide na si kulazimisha watu! I see a sabotage towards the infrastructure if this issue left unattended!