Mkuu acha kutetea uji si kila kitu kinafanyika kwenye cabinet maamuzi mengine ni ya waziri kulingana na katiba tulionayo waziri anaweza kukaa na katibu wake na wakurugenzi na kufsnya jambo lolote wanaloona wao linafaa .ukiangali hii scandle utaona ni madili na CAG na body na watendaji wengine
Kutoa ushahidi kwa raia ni kumziba mdomo.
Wacha aseme awezavyo. Wewe mwenyekuhitaji vielelezo na ushahidi, anza kumchunguza huyo Mwandosya. Ili ukiupata ukweli uje na comments zako kututhibitishia kuwa mhusika unayemkingia kifua, hajatenda 1,2,3.

Sioni kama ngosha atafanikiwa vya kutosha bila kufukua makaburi. Ukiangalia kwa undani madili mengi yamehusisha au yanavibali vya ofisi kuu, mwanasheria mkuu, au baraza la mawaziri. Sasa ngosha kama mkwere amesha sema hatafukua makaburi acha wazee wapunzike wanywe mvinyo wao. Na huko CCM sauti ni ya ngosha tu hivyo sitegemei chochote zaidi ya kile asemacho ngosha.