Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 734
Njia nyingi zilimshinda fisi: hivi sasa hii serikali yetu itaanza na nani na imalize na nani?.
Kwanini CTO/CFO wanakua wazungu tu? Kwani tanzania hatuna wataalamu?
Tanzania we are no good for nothing check hata Olympic ni blah blah tu
hawa watawala wamechagua philosophy ya utawala ambayo ni 'kubaki madarakani' wakati wenzao huko duniani ni kuleta maendeleo.Corruption is a symptom of selfish behaviour among citizens. It is treated by giving punishment China style to anyone envolved. At a certain point in time this will be instituted here as it is the only treatment known.
Tanzania imekua nchi ya baa na magenge. Hakuna viwanja vya michezo, sehemu za wazi na mbaya zaidi kunashule zinaanza bila viwanja. Tunakimbia kinyumenyume na JK wetu kwa kutofata Basic Principles kwenye karibu kila kitu. Nasikitika Olympic hakuna mashindano ya kuchoma nyama na kunywa bia. Nawajua "gold medal materials" kwenye fani hizo.Tanzania we are no good for nothing check hata Olympic ni blah blah tu
It is about time.
Sidhani kama kuna Shirika la Umma lisilonuka uvundo wa corruption.
Ila hiyo ya Zitto, kama imening'inizwa tu. Msije mkawa mnazidi kumpaisha na kuprove kuwa anachafuliwa kisiasa.