Nchi zilizoendelea zinafunga mipaka yake eg USA ili kupunguza ama kuzuia maambukizi ya virusi vya korona but Nchi za Kiafrika ambazo ni masikini zinasema zime jipanga kupambana na Corona.
Aliyetuloga waafrika Mungu ana muona
Kuishi katika ardhi ya Afrika ni kazi ngumu sana. Hatuna uwezo hata wa kupambana na homa ya matumbo ila tunajikweza kuwa tunaweza kupambana na Corona!!
Kuzuia ni bora kuliko kutibu, mimi naona ingekuwa heri mipaka ifungwe kuliko kupambana na Corona, maana maambukizi yakiwa makubwa wananchi mamilion watakaoambukizwa watakuwa quarantined wapi na watahudumiwa vipi. May Our God avoid us from this disease.
Nchi zilizoendelea zinafunga mipaka yake eg USA ili kupunguza ama kuzuia maambukizi ya virusi vya korona but Nchi za Kiafrika ambazo ni masikini zinasema zime jipanga kupambana na Corona.
Aliyetuloga waafrika Mungu ana muona
Na wanasema tunawe na sanitizer...Kaz imeisha....milundikano,misongamano,mashule,daladala..n.k hawaon Kama messure ...na kuboresha security na checking mipakan
Na wanasema tunawe na sanitizer...Kaz imeisha....milundikano,misongamano,mashule,daladala..n.k hawaon Kama messure ...na kuboresha security na checking mipakanView attachment 1388183
Twapaswa tumwombe Mungu sana na kama akiruhusu tuangamizwe na maradhi haya basi tuangamizwe tukiwa tayari tumeshajikabidhi mikononi mwake. Ee Baba utusaidie.
Na wanasema tunawe na sanitizer...Kaz imeisha....milundikano,misongamano,mashule,daladala..n.k hawaon Kama messure ...na kuboresha security na checking mipakanView attachment 1388183