Corona Virus: Pray for Italy and Iran

Reo = Leo?
Ungekua unajaza fomu ya kugombea ujumbe wa kijiji wangekukata kwa kigezo cha kutokujua kusoma na kuandika[emoji3][emoji3]
Nikajua ana utaja mji wa huko Italy kwamba Reo Italy kumbe ana maanisha Leo ya leo tarehe 22..Goddamnit!
 
Huu ugonjwa unatisha, yawezekana Trump yupo sawa wachina walificha wakijua watadhibiti kimya kimya, wakaja kuta walishachelewa ugonjwa umesambaa sana. Ogopa ugonjwa ambao hakuna tiba.

Naskia tiba itapatikana baada ya miezi 18! Mmh
 
Muongeze na Spain naye anahitaji maombi makali kidogo ...atakayefuata nyayo ni New York City na California ni suala la muda tu 9dalili zote zinaonyesha watafuata mkondo wa Italy, Iran na Spain

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah! Tuiombee Italy na Iran.

Mungu awanusuru raia wema wa Iran,Spain na Italy.
 
Hakuna popote hutolewa taarifa sahihi za vifo.
Hata china hakuna anaejua wale waathirika 20 elfu walikoenda.. Huenda waliuliwa...

So piga kimya.
Ungemwambia yule anayedai Iran pekee ndiyo waficha takwimu.. Kuniambia mimi ni uzezeta.
 
Hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…