Nchi kuwa na wazee ni baraka,wanastahili kuishiNchi nyingi zilizoendelea wazee wengi mfano italy mapadri karibu 60 wamefariki na ukiwaangalia wote hao ni wazee wa miaka 60+ kwa kuwaangalia tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mujibu wa Aljezira wanasema serikali ya Iran haitaki kuwa wazi kwa vifo vinavyotokea Iran,means wanaficha vifo na serikali inadhibiti taarifa za vifo,yawezekana Iran ndo ugonjwa umeua zaidiWewe itakuwa una takwimu za wiki iliyopita... Kaangalie takwimu za jana uone nani kachukua nafasi ya iran...hata huko US kwa sasa hakukaliki.
OMG...!!Reo Italy recorded 700+ death in 24hrs
Don't make a promise you can't fulfill...
Hatari sana kwakweli..Kwa mujibu wa Aljezira wanasema serikali ya Iran haitaki kuwa wazi kwa vifo vinavyotokea Iran,means wanaficha vifo na serikali inadhibiti taarifa za vifo,yawezekana Iran ndo ugonjwa umeua zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Reo = Leo?Reo Italy recorded 700+ death in 24hrs
Don't make a promise you can't fulfill...
Usiende kwa proba nenda kiuhalisia uliopo.... Mwanzoni Iran na China wanachezea namba za juu ilikuwa uhalisia ila baada ya nchi nyingine kuwa na figures kubwa zaidi eti wanadanganya... Usishangae takwimu za Italy zikishuka tukaambiwa nao wanadanganya... Siwatetei Iran na wala mimi si muislamu lakini cheki takwimu hayo maudaku achana nayo... Hizi hapa za asubuhi hii..Kwa mujibu wa Aljezira wanasema serikali ya Iran haitaki kuwa wazi kwa vifo vinavyotokea Iran,means wanaficha vifo na serikali inadhibiti taarifa za vifo,yawezekana Iran ndo ugonjwa umeua zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna popote hutolewa taarifa sahihi za vifo.Usiende kwa proba nenda kiuhalisia uliopo.... Mwanzoni Iran na China wanachezea namba za juu ilikuwa uhalisia ila baada ya nchi nyingine kuwa na figures kubwa zaidi eti wanadanganya... Usishangae takwimu za Italy zikishuka tukaambiwa nao wanadanganya... Siwatetei Iran na wala mimi si muislamu lakini cheki takwimu hayo maudaku achana nayo... Hizi hapa za asubuhi hii..View attachment 1395606
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiende kwa proba nenda kiuhalisia uliopo.... Mwanzoni Iran na China wanachezea namba za juu ilikuwa uhalisia ila baada ya nchi nyingine kuwa na figures kubwa zaidi eti wanadanganya... Usishangae takwimu za Italy zikishuka tukaambiwa nao wanadanganya... Siwatetei Iran na wala mimi si muislamu lakini cheki takwimu hayo maudaku achana nayo... Hizi hapa za asubuhi hii..View attachment 1395606
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo REO mimi nilijua kataja mji huko Italy nikaisoma(RIO) kumbe alikuwa akimaanisha LEO!! Elimu yetu majanga mzee wabongo wengi hatujui kuandika hasa linapokuja suala la R, L, H, AReo = Leo?
Ungekua unajaza fomu ya kugombea ujumbe wa kijiji wangekukata kwa kigezo cha kutokujua kusoma na kuandika😀😀
Wale ndezi hata wafe nchi nzima hawata toa raarifa...kule ni kimya kimya