Corona si tishio kwa Afrika

Mkuu umeandika hivyo kama nani?
Unadhani upo sahihi kuaminisha watu hicho ulichoandika?
Africans Tuache kujipa moyo, kubweteka, ujuaji, masikhara na kulaumu, Hizi ndio tabia zetu. Bali tuanze kujikinga na huu ugonjwa, Usiaminishe wengine opinion zako.

Naona bado tunafanya jokes.
 
Nimepata jibu kwanini kwa wenzetu huu ugonjwa umesambaa kwa kasi na huku africa hautosambaa kwa kasi, na jibu lenyewe ni NJIA ZA KUSALIMIANA.Wenzetu husalimiana kwa kukumbatiana na kisses za hapa na pale kwa njia hiyo uwezekano wa kuambukizana ni mkubwa mno tofauti na Africa hasa ya mashariki.
 
Hivi wagonjwa wanaogundulika huko nchi zingine unafikiri ni wa juzi? Maana baada ya China kuitangazia dunia ndio watu wakafunga mipaka yao,lakini tayari kuna watu walishausafirisha kitambo kabla ya mipaka kufungwa. Jiulize pia,kwa nini wagonjwawengi wamegunduliwa nyumbani na sio airport?.

Mie niliugua lakini nilishapona,wakati China wanatangaza kuwa kuna korona,nilikuwa nauguza mke wangu na mtoto kwa homa hyhy inayofanana na hio...aisee wengi tu waliugua waliokaribu na mie.

Serikali ikitata ijue kuwa humu nchini kuna wagonjwa wengi tu wa Corona,wanaofanya survillence waanze na watu wote waliosafiri kwenda China kuanzia Mwezi Octoba hadi December...utashangaaa hizo takwimu. Hakuna vifo kwa vile tu tupo vizuri na kinga zetu....na.nina uhakika hakuna mtu atakufa.

Lakini.ujinga wanaofanya wa kusubiria mgonjwa airport,watakuwa wanajidanganya...watapata wachche sana.
Mkuu kama China hali ilikuwa mbaya tangu October kwanini haukusambaa kwa kasi duniani kote wakati kulikuwa hakuna kizuizi chochote cha kusafiri?

Mbona na we ulokuwa China na haukupata virusi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani hiyo sukari amepata jana? Naona sasa tunaingia kwenye probability...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kisukari kimerahisisha kifo chake..

Corona hushambulia mapafu,sasa kama ukiwa na ugonjwa mwingine hatarishi inakuondoa ghafla...(kwa mujibu wa wataalam wala si maneno yangu!!

Mpaka sasa vifo vingi vimeripotiwa either wazee,Ama walikuwa na Chronic diseases..Corona Unakuja tu kufunga mahesabu yake;;Hvyo basi mtu mwenye Afya njema Corona ni ugonjwa wa kawaida tu ambapo mtu huweza kupona bila hata kutumia dawa!!!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu huyo kisukari ndio kimemuondoa!!
Hakuna Cha Corona Wala nini!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa Corona ni hatari ila sio kama tunavyoaminishwa...

Mitaani watu kama wamechanganyikiwa wamevaa mask,Gloves na wanatembea na Sanitizer....

Mask huvaa wale wanaohsi wana dalili,Ama wahudumu wa Afya,ila sasa taharuki imekuwa kubwa....mwisho watu wafe kwa magonjwa Ya moyo na Presha badala ya Corona yenyewe...


Sent using Jamii Forums mobile app
 
A
AMINA
 
Eti huyu Rose Maria compaore alikuwa vice president wa burknafaso?.
huyu atakuwa black wa kwanza kufa na corona.
taarifa zinadai alikua diabetic
 
naona baadhi ya wabongo wameamua kuwa mabalozi wa corona, full kuipigia promo inaua! inaua!
toka lini mbongo afe na mafua! mtoa mada kaelewesha uzuri sana asili ya huu ugonjwa na wathirika wakubwa ni hao wazungu ndio maaana wana chachawa sana
embu wabongo tutulieni kama ni corona kuwa nayo naamini watakua nao wengi tu hapa nchini lakini watu awana awareness yoyote kama wanayo na maisha yanaendelea
kupanikishana tu!!
 
"Coronavirus behind a worldwide outbreak can survive in the air for several hours".

"The coronavirus can live for three days on some surfaces, like plastic and steel,"

"The test results suggest that humans could be infected by the disease simply carried through the air or on a solid surface, even if direct contact with an infected person does not occur."

Ikiwa inamaanisha coronavirus inaambukizwa pia kwa njia ya hewa na hawa virus wanawaza kukaa kwenye hewa wakiwa hai kwa masaa 3.

Pia hawa virus wanakaa hai masaa 72 yaani siku 3 kwenye chuma na plastic.

Tests indicate coronavirus can survive in the air
How Long Will Coronavirus Live on Surfaces or in the Air Around You?
 
Hakika tungekuwa na Data za kurekodi kila siku kama ilivyo kwa hili gonjwa la kibeberu tungegundua ni mamilioni ya watu kila siku wanapata Maambukizi na mamia ya watu wanapoteza maisha kila siku sababu ya malaria!

Tuache kuipromoti sana corona,maana wakati tunaendelea kuipromoti kuna magonjwa yanaendelea kututafuna kama kawaida!


Sent using IPhone X
 
Kuwepo kwa malaria sio kigezo cha kuacha kuchukua tahadhari ya magonjwa mingine, tahadhari kwa magonjwa yote ni muhimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…