VPN USED2020OCTOBER28
JF-Expert Member
- Oct 27, 2011
- 1,505
- 676
mwanzo kabisa meko alituambia tujifukize kabla ya hii alituambie tuliombee taifa kwa day 3
akaja ja4 akatuambia tupige nyungu
meko pia akatuambia tusitishwe wala tusiwe na hofu
jana akasema atatuma ndege iende madaska kuchukua dawa
kwa kauli hizo inaonesha meko hana uhakika na anachokisema... maana hajatoa clarification kuwa #kujifukiza ni dawa ya korona pia ja4 hajatoa clarification kuwa ukipiga nyungu ni dawa ama la.... watu wamepigishwa nyunguu weeee wamejifukiza weee kumbe mambo ni bilabila!!
akili za kuambiwa changanya na za kwako