Mpya wanaendesha matajiri mkuu11???
Kwani mpya ni sh ngapi?
Kwa maelezo yako ukaweka na neno haijawahi pata ajaliMpya wanaendesha matajiri mkuu
Hiyo ni bei ya used kutoka Japan sio bongo kwa hizo gari, halafu cc1.8 yote hiyo ya nini au ndio maana imekushinda?
Inayo mwezi na zaidi!DLD hiyo cdhani kma ina mwezi
VDLD hiyo cdhani kma ina mwezi