Corolla E 111 For Sale

Umechanganya madesa.
Humu twajadili Mahusiano bhana.
Unatukata stimu.
Jukwaa la matangazo hujaliona?
 
Kweli kabisa, kamba haijatoka...mkiendelea na kuhusiana so mbaya ukapata na vijitangazo bandugu...
 
Invisible msaada kuhamishia uzi wa huyu jamaa jukwaa la matangazo...
 
Last edited by a moderator:
Weka maelezo ya kutosha kama mahali gari lilipo, bei unayoanzia, uwezo wa injini, aina ya gearbox, mileage n.k...hii itakurahisishia kupata mteja kirahisi

Kweli kabisa, kamba haijatoka...mkiendelea na kuhusiana so mbaya ukapata na vijitangazo bandugu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…