mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,873
- 18,433
Naomba kuuliza kwa wanaofahamu, je kwa mwaka huu interview ya kujiunga na kidato cha tano kwa shule ya Sekondari ya Cornerstone leadership academy kwenye kituo cha Dar itakuwa lini na itafanyikia sehemu gani hapo Dar?