Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,267
Kama Raila atashindwa
i suggest you take two weeks vacation
for your own good
The Coalition for Reforms and Democracy (Cord) has urged its supporters to remain calm and wait for the announcement of the final outcome of the March 4 poll by the electoral commission.
Kama Raila atashindwa
i suggest you take two weeks vacation
for your own good
Bila shaka kuna dalili kuwa Raila and his group will not accept the final result
Mbuzi Mzee,Hiii maneno miingi ya nini? Usiku walitoa malalamiko, asubuhi wafuasi wa Odinga wamesema Wameshinda, jioni hii wanatoa tena tamko kupitia Musyoka. CORD, mbona wasiwasi unawazidi sana? Tulieni kama Jubilee na Tusubiri Matokea. Hatutaki Fujo mwaka huu.
Uchaguzi una pressure huu!!
Ab-Titchaz pamoja sana kwa taarifa hizi za uhakika
Mbuzi Mzee,
hebu kua fair in your analysis mkuu.
This is simply a statement of reassuaring their supporters and there is no problem with that.
Jana jioni William Ruto alikua na press conference na sikusikia mtu akilalamika eti ni mambo
mingi.
Umesema tulieni kama Jubilee msubiri matokeo...sasa tofauti ya kauli yako na ya Kalonzo iko wapi?
Kisha wafuasi wa Odinga hawajasema ameshinda...that is twisting statements. Infact nimeona hio
thread ndo maana nimeweka hii hapa ili watu wajue ukweli ulosemwa na CORD...which is the
official party position.
Tuzidi kuelimishana.
Akishinda Uhuru it is against common sense and logic but with Kenyans you never knowIm good where I am at The Boss, ...ninaowasikitikia ni walo nchini Kenya.(To be discussed later in relevant thread.) Otherwise mambo vp? ...naona unafuatilia hii seketa ado ado sio. May the best man win!
Ab-Titchaz, hiyo thread ya ushindi kwa Odinga while knowing kura bado zinahesabiwa inafanya nini Mkuu? Uhuru yupo almost 600K ahead ya Odinga na watu hawajasema kashinda.
Ndio maana nilisema maneno miingi ya nini, tusubiri Kura ziesabiwe ili tujenge nchi yetu kwa amani. Yeyote akishinda ni sawa tu, lakini tusitangaze matokea kabla ya muda. Hii inaweza leta fujo ambazo hatuzitaki. Ndio maana Mh Musyoka kasema CORD watulie na si Wakenya Watulie, hapo kuna kitu Mazee.
God Bless Kenya
Akishinda Uhuru it is against common sense and logic but with Kenyans you never know