copying

Sugi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
1,392
Reaction score
295
madent kwenye shule moja ya kike wakiwa kwenye paper la biology,
moja ya swali lilikuwa ni kuchora sehemu ya kike na kuilebel,maana ni kiungo cha uzazi!
dent mmoja akiwa shallow mbaya kumbe aliingia na kibuti,ile anatoa tu paper ticha kamkamata akakikuchukua kibuti chake!
Dogo akaona kufeli kuko nje nje!
Ticha kajipindua kidogo,dent c akajifunua?
Dent mwingine aliyekaa naye jirani,alikuwa mnoko c akamchomea kwa sauti
"madam madam,she is copying from the original!"
 

du hii kali.... from the original, hiviiii huwa mnawaza nini...vituko vingine....!!!!!
 
Hii ya ku-copy from the original ingemfanya apata maksi zaidi ya 100%
 
huyo kiboko, lakini na hofu angefeli sana, kwa sababu kwenye original hakuna names
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…