Copy and paste on protected webpages

h120

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2012
Posts
2,545
Reaction score
3,370
Salaam JF pipoz.

Kuna baadhi ya websites na Blogs huwezi copy ama ku-save picha, articles nk hata ku- highlight articles huwezi. Sababu ni right click option is disabled ukijaribu ku-right click unaambulia ka message oooh page is protected n blah blah.

Solution:
Njia mbadala ya kuzuia huu usumbufu ni ku- disable javascript kwa kutumia No-script add-on kwenye browser ya mozila firefox.
sasa uta copy chochote upendacho bila taaab.


Get No-script add-on here

NOTE: For Mozila firefox browser only.

Nawasilisha.
 
Shukran Mkuu! Je,kwa android tunafanyaje? Kuna vitabu tuna save lakini huwezi kukopi chochote hapo vipi napo?
 
Haka katabia kako sana kwenye vijiblog uchwara vya bongo wanazui contents zisikopiwe wakati kuna njia nyingi tu za kucopy kama print screen ctrl a... Mm habari nyingi napenda nifungue kwenye new tab sasa wakidisable hiyo wanategemea nini sema nishagundua njia drag and drop...
 
Blogs na Websites za ndogo ndiyo huwa na mtindo huo !

Tena websites nyingine utakuta wame encrypt hadi php codes !
Si ujinga huu !

Mitandao mikubwa huwa wanaachia for educational purposes !
 
Hiyo solution naikubali lakini bado ndogo. Tumia hii ina work kwa blowser zote achana na right click kabisa select sehemu unayotaka kukopi kisha bonyeza button ya control na button ya C kwa pamoja hapo ushakopi nenda kapaste huko unakotaka ha ha ha ha ha .... sifagilii haka kamchezo ka kukopy na kupaste, take care kwani kama wewe ni blogger ujue blog yako itaadhibiwa na google crawler hivyo hutapata watazamaji wengi kwa njia ya search engines yani organic visitors lakini tutafanyaje wakati ndo watu hawataki kuandika vitu vyao original inabidi tuwafundishe mbinu hizi ili waweze kusavaivu japo kidogo tehe tehe tehe hata wasanii wa bongo sio kwamba hawawezi kuimba nyimbo zisizohamasisha mapenzi na wakachukua tuzo za kili bali soko la mziki yani mashabiki ndo wanaowafanya wasanii waimbe mapenzi tuuu kwani wanapenda kusikiza nyimbo za malavidavi tu na hatimaye watapiga kura nyingi kwa wimbo wa maloviiii.
 

Mkuu print screen haitakusaidia kama unataka kuweka kwenye kablog kako hiyo printed screen labda kama unataka uhifadhi kwenye kompyuta yako tu. tena sasa kuna mbinu ya kudis able right click na left click sijui tutacopije sasa na kupaste kwenye viblog vyetu? wee unapenda kuona blog miatano tanzania zote zimeweka post yenye maneno sawa picha ile ile yani hadi formating ile ile!!!!!! inamana hakuna vitu vipya vya kuielimisha jamii yetu. Uvivu wa kufikili huu hautatufikisha popote kwa kopi na kupaste
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…