Copa Libertadores Semifinal 2016,Amerika ya kusini

DesertStorm

JF-Expert Member
Nov 22, 2015
3,009
2,414
Baada ya robo fainali kumalizika, sasa ni Hatua ya nusu fainali ambapo timu Nne zimebakia

1-Atletico Nacional*
2-Sao Paulo×

1-Independente del Valle
2-Boca Juniors

Alfajiri ya leo Wamecheza:
Sao Paulo na Atletico Nacional,

Sao paulo imeshaaga mashindano, kwa Aggre 4-1. hivyo Atletico Nacional atasubiri mshindi wa kesho Asubuhi kati ya

Boca Juniors <> Independiente dell valle

Je unatabiri nani atatwaa kombe hili?
 
  • Thanks
Reactions: PNC
mimi natabiri tena carlos tevez a.k.a simba wa nyika atapiga goli eti nimeondoka england kwa sababu unaweza kuamka asubuhi mpaka jioni usione jua jamaa anavituko
 
Naamin wanangu boca jrs kombe linawahusu..

Ila hawa atletico nacional hatar
 
Boca waplmepigwa 3-2 nyumbani ni wapuuzi sana..... Wanacheza kama arsenal pasi milioni wenzao wakipata pasi NNE tano wapo golini...... Kuna jamaa Christian Puvon Wa boca ni mbaya .....bonge LA winger
 
Boca waplmepigwa 3-2 nyumbani ni wapuuzi sana..... Wanacheza kama arsenal pasi milioni wenzao wakipata pasi NNE tano wapo golini...... Kuna jamaa Christian Puvon Wa boca ni mbaya .....bonge LA winger

Mkuu Mnyama alikuwepo? Tvz
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom