Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,534
- 61,964
Jamani hivi kwa wenye Dstv kuna chaneli gani ya kawaida naweza ona hii mechi ukiondoa zile za package ya juu??
Mkuu tunatazama kupitia wapiNausubiri huu mchapo kwa hamu kuu. Ni 2:00am EAT.
Mkuu tunatazama kupitia wapi
Muhimu sana tupeane maujanja
Canal+?..Mie niko huku jirani na Malawi nina kidubwasha changu nililetewa na mshikaji wangu wa kinyasa ndicho kinanipa hii burudani kubwa. Baada ya kukipenda nilimuomba aniletee kama 10 kwa ajili ya washkaji zangu akaniambia havipatikani tena.
😀😀😀🙌🙌🙌Mie niko huku jirani na Malawi nina kidubwasha changu nililetewa na mshikaji wangu wa kinyasa ndicho kinanipa hii burudani kubwa. Baada ya kukipenda nilimuomba aniletee kama 10 kwa ajili ya washkaji zangu akaniambia havipatikani tena.
Ni saa nane usiku au tisa mkuu?Hapana Mkuu.
Ni saa nane usiku au tisa mkuu?
Kivipi?Huu mpira leo nauangalia live online dakika zote 90 na sitalipia hata 10 ya data
Na kesho euro final the same
Simba vs coastal union, the same
Mchawi chaji na network
Secret issues siwezi weka hapaKivipi?
Ni saa nane usiku au tisa mkuu?
Nadhan ni 3:00Am Eat mkuu..mwnyw nasbr leo silali na ivi kesh j2Nausubiri huu mchapo kwa hamu kuu. Ni 2:00am EAT.