Continuing ilibidi tuapply vipi?

Continuing ilibidi tuapply vipi?

Matare

Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
9
Reaction score
0
Ndugu zangu tunaoendelea na tukaomba mikopo, naomba kupewa ufafanuzi kidogo. Mimi binafsi niliapply moja kwa moja bodi kwa kuambatanisha fomu ya udahili na viambatanishi vyote vya kunitambulisha kuwa ni mwanachuo ninaeendelea. Sasa hapa kuna wale waliopitia chuoni na sisi tulioomba direct. Je, tulifanya sahihi kiutaratibu? Tusijekuwa tunasubiri mtumbwi air port. Ufafanuz plz
 
Kama uliomba direct ulitakiwa upeleke taarifa kwa Loan officer kama ulifanya hivyo haina shida mtumbwi utakukuta ufukweni.
 
Ndugu zangu tunaoendelea na tukaomba mikopo, naomba kupewa ufafanuzi kidogo. Mimi binafsi niliapply moja kwa moja bodi kwa kuambatanisha fomu ya udahili na viambatanishi vyote vya kunitambulisha kuwa ni mwanachuo ninaeendelea. Sasa hapa kuna wale waliopitia chuoni na sisi tulioomba direct. Je, tulifanya sahihi kiutaratibu? Tusijekuwa tunasubiri mtumbwi air port. Ufafanuz plz

chuo gani mkuu!! nikupe ufafanuzi
 
HAWA BOARD KIUKWELI WANAKERAAAA SANA.. KAMA MWESHIMIWA JPM KAJIZATITI WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU wapate mikopo... Shidaaa ipooo kwaa hawa wazandiki wa heslb.... hizo pesaaa heslb sio as baba zenu bali ni jasho la Mtanzania...
 
Kuna ubaguzi mkubwa wa utoaji mikopo kwa wanafunzi wa continue ambapo bodi inatoa mikopo kwa upendeleo na kujuana kwa kuwaacha wanafunzi ambao ni yatima (orphan) ,walemavu na wanaosoma priority kozi....kwa uchunguzi niliofanya kwa chuoni kwangu nimegundua wanafunzi asilima 50+ ya continue waliopewa mkopo kwa sasa hivi ni watu wanaosoma kozi ambazo si za priority na hawana vigezo vyovyote vinavyowafanya wapewe mkopo, huku kukiwa na wanafunzi wengi wanaosoma kozi za priority, yatima na walemavu wakikosa mkopo, kwa sasa ni vyema bodi ikafanyiwa uchunguzi.na hii sio kwa chuo changu tuu maana hata nilivyojarbu kuwauliza wanafunzi wa vyuo vingne pale bodi nilipata majibu haya haya, .ni vyema mheshimiwa magufuli au waziri mkuu au katibu mkuu kiongozi akaangalie jipu Hili pale bodi.Na pale bodi ya mikopo mkurugenzi wao uwa hataki hata wanafunzi wamfikie ili watoe kero zao kama agizo la mheshimiwa linavyosema watendaji wa serikali wasikilize kero za wanaowahudumia sio kukaa tu ofisi na kula mshahara pia kwa masikio yangu nimemsikia mkurugenzi mkuu wa bodi ataki hata kuwaona wanafunzi wakfika kuongea na maoficer wa bodi ili wajue hatma yao yeye anataka waishie kwa customer care na walinzi watu ambao hata hawawezi kukusaidia..bodii ya mikopo ni jipu kubwa sanaaa litumbuliwe ili kuokoa wanafunzi maskini wa kitanzania.
 
Back
Top Bottom