Continental decoder

jackderick

Member
Joined
Dec 31, 2012
Posts
29
Reaction score
10
Habari wanajamii,

Naomba kujuzwa, kuna tatizo la kiufundi na hawa jamaa au maana kinga'muzi changu kimekata hakioneshi chochote zaidi ya no signal.
 
tangu lini tatizo hilo, na upo mkoa gani. mimi natumia nipo arusha

Habari wanajamii,

Naomba kujuzwa, kuna tatizo la kiufundi na hawa jamaa au maana kinga'muzi changu kimekata hakioneshi chochote zaidi ya no signal.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…