Maganga Mkweli
JF-Expert Member
- Jul 14, 2009
- 2,089
- 829
ndugu zangu ni mimi tu napata hii kero ya hii decoder au kuna wengine mnapata taabu kama yangu maana mie hii siku ya pili sioni chochote .. hii nchi mbona longolongo nyingi
Komaa mtanganyika ndo sababu wakawawekea package za bure mwenzio na Zuku 2 tehe,tehe,tehe,tehe.yaan sio ww peke yako,wananiboa sana nimewapigia simu eti wanasema wana update software, sasa software siku tatu kweli hamna matangazo, bora turudi analog,hatujajipanga huku,tumevamia tu
ndugu zangu ni mimi tu napata hii kero ya hii decoder au kuna wengine mnapata taabu kama yangu maana mie hii siku ya pili sioni chochote .. hii nchi mbona longolongo nyingi
Jamani Kingamuzi ndio kinakufa hicho, hii mara ya pili kingamuzi kinakata mawasiliano.
Wametangaza kwamba Eti wanahama toka mfumo wa Mkonga kwenda satellite, kwa hiyo muwe na subira, na hata hawasemi zoezi litachukua muda gani. Mbona DSTV na Azam wana Update softwares na hatujawahi sikia matangazo yanakataa?
hamia ZUKU au AZAM TV