Alvaro Morata is a plan BNa ishu ya Lukaku ikibuma inakuaje sasa
Na akina Perez.Wenga hawezi kua na mchezaji kama Costa watapigana kwenye mshahara yeye type yake ni akina Genaby
ila mpunga upoo?? maana jana ilisikika kuwa madrid waliwachomolea nje man u kwenye dili la morataAlvaro Morata is a plan B
Madrid wanawadindia Man Utd kwa kuwa labda wanataka Dea Gea awemo somehow kwenye deal. Morata hawamtaki kihivyo, ndo maana alikuwa anaaingia dakika za majeruhi na yeye hataki tena kusugua benchi. Madrid wanamtaka zaidi yule dogo wa Monacco - Kylian Mbappeila mpunga upoo?? maana jana ilisikika kuwa madrid waliwachomolea nje man u kwenye dili la morata
Ahaa sawa mkuuMadrid wanawadindia Man Utd kwa kuwa labda wanataka Dea Gea awemo somehow kwenye deal. Morata hawamtaki kihivyo, ndo maana alikuwa anaaingia dakika za majeruhi na yeye hataki tena kusugua benchi. Madrid wanamtaka zaidi yule dogo wa Monacco - Kylian Mbappe
Uko ngazi za juu huko chesiii?Bora haondoke.mapozi mengi.fujo majivuno.asepe tu.
Nilishamchoka kitambo.
Yaaap.nipo kamati ya usajili ya chelsea.Uko ngazi za juu huko chesiii?
Lukaku vs Costa?...