Containers for sales

Containers for sales

masakafyuku

Member
Joined
Jan 13, 2013
Posts
25
Reaction score
2
Kwa wale wafanyabiashara wenye uhitaji wa makontena kubebea mizigo yao mnakaribishwa kutuona ofisin kwetu New national building Saza-Road chang'ombe Dar es salaam.Aina zote tunayo kuanzia 20ft,40ft kwa HC na pia tuna reefers containers(contena za kugandisha).
Email; info@harloscompltd.co.tz
phone; 0718235915/0742084094
 
10 million 20ft, no way! Mkuu sikuvunji moyo, lakini kwa bei hiyo mimi napata 20ft tatu! Review your price, tafadhali!
 
Kama used bei yako bado iko juu, hiyo bei uliyoweka ni ya 40ft na chenji inabaki. fully documented.
Ni used but in very good condition, maelewano kwa serious buyer yapo..
 
Nakumbuka mwaka jana tulinunua Euro 800.00 + VAT kwa 20ft na Euro 1,400.00 + VAT kwa 40ft, nia sio kuharibu biashara yako ila hiy bei ni kubwa sana mkuu.
 
Nakumbuka mwaka jana tulinunua Euro 800.00 + VAT kwa 20ft na Euro 1,400.00 + VAT kwa 40ft, nia sio kuharibu biashara yako ila hiy bei ni kubwa sana mkuu.
Ndio bei zake, UK 20 ft ni £800 na 40 ft ni £1200, tena wana kuletea hadi yadi ya kupakilia. Sasa £1200 ni kama mil 3, fanya ulipie mil 5 za urasimu bado ni hata 10m haifiki.
 
huyu kayaona tu mahali alaf anataka kuyafanyia udalali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom