salimkabora
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,441
- 653
Edit uzi wako kabla hawajaja
Miongoni mwa wanasiasa ambao member mwenzetu hapa JF(mwanahabari) amekuwa akiwaunga mkono na kuwatetea ni bwana EL na ZZK.
ZZK alikuwa na misukosuko ndani ya chama na baada ya kuondoks ghafla katua TAC na kupewa uongozi wa juu wa chama.
EL nae kuteuliwa kugombea uraisi kupitia chama chake maswali ni mengi kuliko majibu.
ZZK kukubaliana na maamuzi ya pilato bila hata kuangaika kukata rufaa.
Wito wa ZZK kwa EL kujiunga TAC(inawezekana lengo ni kutishia nyau).
EL kuahidi kumuachia cheo cha kiongozi mkuu wa chama atakaeteuliwa kuwa mgombea uraisi kupitia chama chake
TAC ni chama kichanga lakini kinaonekana kuwa na hela ya kutosha kumudu kufanya mikutano maeneo mbali mbali nchini na hata kugharamia air-time kwenye media.
NB:Refer yale ya makada wengine wa chama cha magamba na iliyokuwa JCC(inagalie TAC ya leo kwa jicho la JCC ya wakati ule-zingatia, wanasiasa ni wale wale na tabia zao ni zile zile)
Nimeanza kufanya mazoezi ya ku-avoid "cyber bulying" kwahiyo usishangae sana kilichoandikwa na nilivyoandika.
Tuendelee kudadavua!
Ameweka angalizo hapo mwishoni mkuu.
Sasa ni ACT vs CCM!
Nadhani amefanya kwa makusudi ili akwepe accountability & responsibility kwa kutotaja moja kwa moja ACT badala yake iwe TAC
Kafanya kusudi. Si umeona alivyomalizia, anaogopa muswada wa cyber crime ukiwa sheria.
Uharo mtupu hapa , mmebanwa kila kona sasa mnatapa tapa kama bata anayechinjwa watunga hekaya wakubwa nyie
Ungeijibu hoja yake ungekuwa umemtendea haki zaidi kuliko kutumia lugha za kuudhi............pole naona umeogelea kwenye maji ya mvua.Na leo imenyesha sana maeneo ya Ubungo mpaka Magomeni...........
Kaka Salary slip ungefanya edit kidogo hasa kwenye TAC WEKA ACT,JCC nadhani inatakiwa kuwa CCJ,wwkuwa hjwa madaraka ya ukuu wa chama ni EL,na muachiaji ni ZZK.
Ukiedit hayo itakuwa powa sana.
Ukiona hivyo ujue hana hoja huyo!
Achana nae.
Kumbe ameeleweka. Nadhani atakuwa na dhumuni maalumu la kufanya hivyo!
Kale KASHERIA ketu kakutuacha tule mpaka tuvimbiwe na huruhusiwi kusema hata kupiga picha pale tutakapokuwa tumelewa ile MADARAKA WINE.Ukiandika tu viboko thenashara au mamilioni kadhaa yakutoke.............:A S 20::A S 109::A S 109:
Miongoni mwa wanasiasa ambao member mwenzetu hapa JF(mwanahabari) amekuwa akiwaunga mkono na kuwatetea ni bwana EL na ZZK.
ZZK alikuwa na misukosuko ndani ya chama na baada ya kuondoks ghafla katua TAC na kupewa uongozi wa juu wa chama.
EL nae kuteuliwa kugombea uraisi kupitia chama chake maswali ni mengi kuliko majibu.
ZZK kukubaliana na maamuzi ya pilato bila hata kuangaika kukata rufaa.
Wito wa ZZK kwa EL kujiunga TAC(inawezekana lengo ni kutishia nyau).
EL kuahidi kumuachia cheo cha kiongozi mkuu wa chama atakaeteuliwa kuwa mgombea uraisi kupitia chama chake
TAC ni chama kichanga lakini kinaonekana kuwa na hela ya kutosha kumudu kufanya mikutano maeneo mbali mbali nchini na hata kugharamia air-time kwenye media.
NB:Refer yale ya makada wengine wa chama cha magamba na iliyokuwa JCC(inagalie TAC ya leo kwa jicho la JCC ya wakati ule-zingatia, wanasiasa ni wale wale na tabia zao ni zile zile)
Nimeanza kufanya mazoezi ya ku-avoid "cyber bullying" kwahiyo usishangae sana kilichoandikwa na nilivyoandika.
Tuendelee kudadavua!
hakuna kilichobadilika mkuu , siasa si kama tamasha la vodacom coco beach , kwamba juma nature akiimba basi limekwisha , siasa ni msingi , mikakati na mipango , muulize mwigamba idadi ya wanachama wa ACT hadi leo , utalia !Mkuu kila siku unakuja na ngonjera mpya kuhusu ACT Makamanda wenzako walisema ZZK Nje ya Chadema ni kama mamba nje ya maji sasa hadithi tena zimebadilika
Yaani jko sawa 200%
Yatatokea yale yale ya Mpendazowe ya kuachwa kwenye mataa na mzee six!
Huwa hawajifunzi, na zaidi ni kutokana na kiburi... naliona anguko la Zitto likija kwa kasi mno, hata kama atamwachia Lowassa kiti, kama ilitumika nguvu ya ziada kutoka CCM ili yeye apate Ubunge Kigoma, na kama ilitumika nguvu ya CCM ili apate uenyekiti PAC, na kama CCM wataelewana, Lowassa akakubaliana na maamuzi ya chama au akapitishwa na chama chake atapata wapi hela za kuendeshea chama?
Wananchi wa leo sio wale wa 1995, CCM ina hela sana ila haikubaliki, Zitto angeuja na sera shirikishi, wanachama na wapenzi wagharamie chama chao, sio hii ya kuchota hela kwa EL na kuandaa mazingira, Mfadhili akikata mrija hutaweza kuwashawishi watu wachangie chama, hutaweza kuuza kofia wala tisheti wakati ulizoea kutoa bure!
Subirn
mtakuja na hypotheses nyinyi sana nyie chadema lakini ukweli mchungu unabaki palepale, mlifanya makosa sana kumfukuza Zitto.
mngekuwa mnaona mbali mngemuacha hata awe mwanachama wakawaida tu ukizingatia na vyeo vyote mlishamnyang'anya.
sasa kila kukicha nyie na zitto. poleni mmeyataka wenyewe.