Wale wapenzi wa Connectify Dispatch na Hotspot PRO, Watakuwa na Sababu nyingine ya Kufarahi tena Baada ya Kuzinduliwa Software mpya inayoaminika kuwa itakuwa kivutio cha wengi Duniani Kote.
Kilichonifurahisha katika hii Software inayoenda kwa jina la "Switchboard" ina uwezo wa ku-creat Saver Mwenyewe na Kisha kuweza kuangalia "regional Locked Contents" Namainisha kwamba kuna baadhi Video Labriries ambazo hazionyeshi kazi zake Nje ya sehem Fulani. Mfano huwezi kuangalia Netflix/Vudu/Pandora/Crackle and HULU ukiwa nje ya America.
Lakini saivi ukisha creat Saver yako Via VPN, U can watch your locked contents everywhere U are.
Pia uwezo wa Kustream Video umekuwa Amplifiered to the Maximum.
Kwa kuanzia kwa Sasa hii Software inapatika Online kwa $90. Ila najua kadri siku zitakavyoenda Bei itapoa.
TafadhAli fungua
www.connectify.me then Click Switchboard. Ukipata knowledge Mpya njoo utuhabarishe pia.
Thanks.
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums