Nasubiri wanaume watiririkeWakubwa heshima zenu.
Wenzangu habari zenu.
Wadogo zangu hope mpo poa.
ITIFAKI IMEZINGATIWA.
Napenda kufungua kikao hichi ambacho lengo lake dhairi ni kuzingatia hoja zifuatazo.
~Ni sifa gani muhimu tunalenga kwa mwanamke ili aweze kukidhi mahitaji ya moyo wako,akili yako,matamanio yako na mtazamo wako kama mpenz au mke ambaye hutojutia na ni kama ndoto umempata.
~Pili,tabia zipi unapenda awe nazo au kama hana,umshape awe nazo ili uweze jenga chemistry itayobond na yeye mpaka hatima yenu.
~wapi sehemu sahihi ya kuanza relationship,japo wengi hudai kokote mbegu huota ingali wanasahau ardhi zinatofautiana.mijini,vijijini n.k
~nne,zaidi ya mapenzi ni vitu gani tofauti ambavyo ni necessary uvipate kwa mwanamke zaidi ya mapenzi.
~mwisho ni kitu gani hususan unachoona ni muunganiko sawia kati ya wawili mpendanao,je ndoa,mapenzi tu,urafiki na kustarehe kila uchao.
Hoja hizo juu zinashabiana na kuingiliana but logically zinajitegemea kimantiki.
Mimi naona kwa kuanza mapenzi ya mtandaoni ni virtual reality sifa humu hujengwa kwa mazingira ya weledi wa juu ili tu kusatisfy individual feelings virtually and not realistic.+++++(mwanamke sifa ya kwanza awe na AKILI TIMAMU)
KARIBUNI.
Kwahiyo asprin unasema unataka waliobanguliwa??Dunia inaenda mbio kiasi kwamba hivi sasa ili upate mke bora ni lazima ufanye utafiti.
Babu yenu ntaongea na prezidaa tulitumie jeshi letu litusaidie kuwasaka wanawake wanaofaa kuolewa.
HahaaDunia inaenda mbio kiasi kwamba hivi sasa ili upate mke bora ni lazima ufanye utafiti.
Babu yenu ntaongea na prezidaa tulitumie jeshi letu litusaidie kuwasaka wanawake wanaofaa kuolewa.
Ngoja waje mkuu, naona umewachokoza akina fulan .......3:kila mwanamke anahitaji kufuatiliwa,ukimwacha huru ni sawa na kondoo asiye n
Usipomfuatilia atajifuatilia halafu utaanza kulialia eti ana kibri,sijui marafiki wamemharibu,hakuwa hivi...wakati ni uzembe wako.Ngoja waje mkuu, naona umewachokoza akina fulan .......
Hawa kidada hawatabiriki kabisa,nilikua na mwanamke mmoja mstaarabu kweli,yaan wife material, tumekaribia kabisa ndoa tukashindwana kwenye suala la dini,baadae nikampa baraka zote akaolewa na mtu mwingine wa dini yake!
Ni miezi saba tu toka aolewe ndoa imekua ngumu,karudi tena, nimegeuka mdaka chozi,kila akiwa na stress anakuja kunililia najipigia vizuri tu!
Hawatabiriki kabisa dada zetu hawa
Hivi wale Dada zetu wa kule huruma tunawashape vipi maana wanajua mapenzi ni pesa na ngono basi....Imani yangu kila mwanamke ni bora,tena bora kabisa inategemea tu na mume alivyo.Kwa nini?
1:kila mwanamke hupenda kumjaribu mumewe. Usiposimama atakulisha lile tunda la Eden,Ni jukumu lako kulikataa katakata.
2:kila mwanamke yupo flexible usipomchonga afiti kwenye maono yako atakuchonga yeye,,na hii siyo kazi yake (lazima atakosea)
3:kila mwanamke anahitaji kufuatiliwa,ukimwacha huru ni sawa na kondoo asiye na mchunga,asipoiba ataibiwa.
4:kama mwanaume angesimama kwenye majukumu yake ya asili dunia ingekuwa mahala salama sana.
5:hata Kama Kuna kutafuta riziki lazima kichwa kiwe kichwa na mkia uwe mkia.
6:achana kabisa na imani zilizokuja na meli/ndege.kama ni mnyantuzu kuwa hivyo.
Mwache ajifuatilie tu,mwangwi wake utauona maana anajitambua kuliko unavyofikiria wewe!Kwanini nimfuatilie si anajitambua
Kama ni dada zenu watashepiwa na shemeji zenu!don't cross the border mkuu.Hivi wale Dada zetu wa kule huruma tunawashape vipi maana wanajua mapenzi ni pesa na ngono basi....
Hahahahah na watakaoweza kupanda karandinga lazima watakuwa wake bora kabisaKwahiyo asprin unasema unataka waliobanguliwa??