Wako JUU TP Mazembe. Yanga Simba Acheni Majungu mtafika mbali otherwise endeleeni kulea migogoro tu hapo klabuni kwenye
intermilan vipi? Tpm watacheza na nani fainali?
poa mkuu. Angalau tpm wamekufanya uahau kidogo machungu ya jana. Anyway tutadiscus vizuri chumbani kwetu kule arenalwanamsubiri mshindi wa kesho kati ya intermilan na seongnam,.fainali itapigwa jumamosi mida ya saa moja usiku saa za nyumbani.
Kinachopendeza zaidi ni kwamba timu yote (100%) ni African. Hata kocha wao ni ngozi aliyekulia Lubumbashi
Man U waliifunga timu ya Mexico 2 - 1 na kutwaa ubingwa wa dunia wa vilabu! Mexico nadhani ni Central America.Sio Afrika tu,bali inakuwa timu ya kwanza kutoka nje ya bara la Ulaya na Amerika Kusini kucheza final