Nna swali mkuu,kuna ka story nilisikia jamaa alikua tz sijui mlimani pale ud km sijakosea ghafla akaitwa akawe prezdaa kwao baada ya babake kufariki,hii story ni kweli?
Km kweli,alikuaje mlinzi wa rais wa nchi jirani hku akiwa tz kwa wkt mmoja?
Thanks in advance