hongera zake, mzee wa kiraracha japo pole kubwa kwa kijana mpiganaji john mrema, natumaini 2015 mzee wa kiraracha atakuwa kachoka sasa, hapo john mrema atapokea kijiti
Mkuu, kumbukeni hata wana CCM walikua radhi Mrema apate ili wamwangushe Mbowe. Hiyo ni nafuu sana kwa CCM maana walikua wanapigana kufa na kupona kuhakikisha Mbowe hapati.
MREMA ni mvulugaji wa mambo, sio number safi hata kidogo. nadhani wabunge wengine wa upinzani wamwangalie huyu mzee vizuri. Kumshinda John anastahili pongezi.