Hahaha, inachekesha ila maadam ni upinzani hebu tusubiri anakuja na staili gani this time. Amesema alishatanguliza koti lake Dodoma. Kama hatokuwa mnafki anaweza kuchangamsha bunge kimtindo.
hongera zake, mzee wa kiraracha japo pole kubwa kwa kijana mpiganaji john mrema, natumaini 2015 mzee wa kiraracha atakuwa kachoka sasa, hapo john mrema atapokea kijiti
Agreed! Hongera Mzee Tini. Baada ya Kejeli na Manyanyaso ya miaka 15, mwezeshaji wa kwanza wa upinzani kupata wabunge anarudi bungeni. Pata kisusio urudishe damu na nguvu. People's Power is the REAL power.
Lengo lake ni kupata nafasi na mala nyingi huwa hana mzaa akiwa kazini huwa namwamini sana mrema hasa pale anapoamuwa kuwawakilisha watu,we suburi kama ni kweli bunge ni safiiiiiiiii