William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
ndugu yangu fmes....hiki kiapo cha kumlinda na kumtetea jm kama kingetumika pia kwa viongozi wa nchi yetu basi tungekuwa mbali sana....lakini kinachonishangaza katika hoja zako ni kulazimisha kwamba kuna chuki na wivu na roho mbaya juu ya jm....you are very wrong
- Nimekuomba sana tena sana, kwamba tuwekee ushahidi japo kidogo ya hizo piki piki, lakini huonyeshi, sasa swa;i ni vipi yaani wewe ukisema tu kwamba Januari kagawa piki piki basi unakwua ni ukweli? inashangaza sana vipi mkuu Januari amekukosea nini hasa?.....tulichofanya hapa ni kutoa taarifa kwamba jm ameenda kujitangaza jimboni bumbuli na kwa taarifa yake alikuwa ameweka ahadi ya kufanya hivyo kabla kwani sio kwamba ndio ameanza kampeni...kwani hata pikipiki alishapeleka kule jimboni zaidi za mwezi sasa umepita....hakuna asiyetaka vijana wajitokeze na hakuna aliyempinga jm so far, ila tunaangalia namna anavyofanya shughuli na kuangalia kama je ni katika mwenendo ambao unaleta matumaini kwa demokrasia ya nchi yetu....
- Ulipaswa kujishangaa mwenyewe kwa kushindwa kutoa ushahidi wa haya maneno yako ambayo ni majungu na uzandiki, fitina na chuki, sasa one more time lete ushahidi japo kidogo wa haya mafitina yako!nakushangaa unapopinga kwamba:
1. Jm hakwenda bumbuli kujitambulisha
2. January hajawahi kuchangia ujenzi wa shule
3.jm hakuchangia vijana
4. Jm hakutoka pesa kila alipopita....
5. Jm hakutoa pikipiki.....
- Too low mkuu siwezi hata kujibu.lakini unatetea kwamba jm ni kijana mwenye uwezo....smart...hapo hapo unasema anasaidia jamii yake.....ndio maana nimesema humsaidii jm kwa hili kwa kukanusha kila alilofanya....unaweza ukawa au ukahisi kwamba wewe ni mjuaji sana lakini kumbe sivyo....unapinga hata kwamba jm anataka kugombea ubunge bumbuli.....nimekuwekea hata namba za simu za watu wa kupigia kama unataka ushahidi..piga uulize kila sehemu anayopita jm anasema nini na anataka nini na jaribu pia kuchukua mawazo ya watu kuhusu mtizamo wao kuhusu jm.......at my own humble conclusion, i think u have done more harm to jm than u think u helped....so long....
sijui na wewe unagombea wapi ndugu yangu....i wish u all the best....
Kimsingi JM kama MTZ mwingine yeyote yule anaruhusiwa kikatiba kugombea Ubunge au nafasi yeyote ile ya kuchaguliwa;na kwa vile JM anatelekeza yale anayoruhusiwa kikatiba kumnanga hapa ni kutomtendea haki!
Lkn NAKATAA tena NAPINGA kwa nguvu zangu dhana iliyoanza kujengeka kwa baadhi ya watu hapa kuwa JM ni"smart"na"intelligent"eti "mwenye uwezo mkubwa wa kuwaletea maendeleo wana wa Bumbuli";wanayasema hayo maneno bila kuleta hata ushahidi mmoja kuthibitisha madai yao!
Kimsingi mfumo mzima wa CCM kuwaletea maendeleo watz umeshindwa,na inaniwia vigumu kuamini kuwa JM yeye ni exceptional kutoka ktk kundi la CCM na kama yupo hivyo nielezeni hapa kaonyesha dalili zipi kwa nafasi aliyoshika!
Then;kuwa na elimu kubwa ya darasani hakfanyi mtu husika eti ndiyo "smart"wala"inteligent"bali ukiweza kutumia elimu yako kwa faida ya watu waliokuzunguka ndiyo kipimo kikubwa sana cha umakini wako kama tu Rais wa zamani wa USA aliposema kuhusu watu wanaotaka kugombea uongozi wana Bumbuli wawaulize hawa akina JM maneno haya:
"JM UMEWAHI KUIFANYIA NINI BUMBULI HADI TUKUAMINI TUKUPE NAFASI HII YA KUWA MWAKILISHI WETU?"
Mambo ya kuwa"smart" au "inteligent"hayawasaidii hata kitu kimoja watu wa Bumbuli kwani hata Chenge au Balali walikuwa smart mno hata labda zaidi ya JM walipokuwa Havard,lkn je wametusaidia??
So, what is your point??!!
JM kama mtz yeyote yule ana haki yake kikatiba kugombea nafasi yeyote ya kuchaguliwa basi na yeye afanye hivyo na wana Bumbuli ndiyo watakao amu!
LKN hii habari kuwa JM ni smart au inteligent haina ukweli wowote na ni"propaganda" ingine ambayo watz wanapaswa kuikataa maana hamna ushahidi hata mmoja unaoonyesha hivyo;narudia tena kusoma shule nzuri na kuwa ma degree mengi hakukufanyi wewe uwe smart au inteligent!Kumbukeni kuwa viongzi wengi ndani ya serikali ya CCM wamesoma shule nzuri na rekodi zao za kutukuka darasani labda zaidi ya huyu JM lkn hawajatusadia!
- In general kama wanachama wote wa CCM ni failures, maana yake ni moja tu kwamba wananchi wa Tanzania waliowapa uongozi for the last 47 years ndio the worst failures in the world, hizi sweeping statements za ku-generalize watu wote kwa sababu ya makosa ya wachache huwa ni empty thinking na haziwezi kutuletea maendeleo wala mabadiliko, I mean Januari hawezi kuwa judged kwa kutumia CCM's perfomance as chama, that is very unfair ni sawa na kuesma wewe na mimi hatuwezi kuongoza maana tumekuwa part ya wananchi wanaoichagua CCM kila mwaka kuongoza taifa, does that make a sense to you?JM ni mwana CCM kama walivyo hao wana CCM wote ambao imethibitishwa ni"failure" kwa kuwalatea watz maendeleo na sijaona lolote ambalo linamtoufatisha JM na wana CCM wenzake!
JM anamsaidia nini rais??- Mkuu pole pole hapo, sio kwa sababu Chenge aliyesoma Havard ni mwizi basi wengine wote tulioenda shule ni wezi, yes! ninasema Januari ni kijana smart na very intelligent WHY? Kwa sababu sio wa-Tanzania wote wameweza ku-accomplish kama yake katika umri alionao, na it has nothing to na Chenge wala baba yake, the guy is smart and very intelligent no wonder amekuwa msaidizi wa Rais for over four years now wakati tunawajua wengine wengi waliotemwa tayari na mapema sana.
- Sasa kingine ni kwamba Januari deserves respect kwa binafsi yake kuweza kuamua kuondoka Ikulu na kupeleka experience yake jimboni kusaidia wananchi bila ya kufukuzwa na mtu, now what is wrong with that?
- In general kama wanachama wote wa CCM ni failures, maana yake ni moja tu kwamba wananchi wa Tanzania waliowapa uongozi for the last 47 years ndio the worst failures in the world, hizi sweeping statements za ku-generalize watu wote kwa sababu ya makosa ya wachache huwa ni empty thinking na haziwezi kutuletea maendeleo wala mabadiliko, I mean Januari hawezi kuwa judged kwa kutumia CCM's perfomance as chama, that is very unfair ni sawa na kuesma wewe na mimi hatuwezi kuongoza maana tumekuwa part ya wananchi wanaoichagua CCM kila mwaka kuongoza taifa, does that make a sense to you?
- Kwangu it does not make a sense at all! na sio watoto wote wa viongozi wetu walioenda shule ni wasaidizi wa Rais. Mambo mengine ni fact of life, na kuwa mtoto wa kiongozi inapaswa kuwa a plus kwa mgombea wa aina hiyo kwa sababu the argument is very clear kwamba amekua arround uongozi wa taifa, huyu hawezi kuwa sawa na ambaye hajawahi kuwa karibu na uongozi maishani mwake! It is not about Januari, this is our nation! I mean wote wa-Tanzania!
Respect.
FMEs!
ndiyo yeye JM kamshauri JK zijengwe flyover??
FMES, are you complimenting him ro reproaching him, because being JK adviser alone is a big shame! the same guys people do not want him, yes he may be MP we know what they can do. But please never mention again that he is advising JK, never!
- Hapana unahitaji kuwa hayawani kufikiri kwamba mawazo yako wewe hayawani mmoja ndio mawazo ya wananchi wote, Januari ni assistant to the President, akitoka pale alipo sasa na kuomba kazi pengine anajiwakilisha kama aliwahi kuwa msaidizi wa Rais, as an insitituion na sio kama unavyofikiri na kuamini mkuu, kuna tofauti kubwa sana between kufanya kazi ofisi ya Rais, na kuwa mshauri wa Rais, kuyachanganya haya ndio uhayawani wenyewe!Unajua nchi hii inabidi uwe na roho ngumu sana kumsifia kikwete na watu wake wa pembeni, you need to be crazy. Yes kwa umri wake vijana wengine wengi wamepiga hatua they are not politician wanafnya kazi zao za professionals , na kuna sababu nyingi za mtu kufanikiwa mapema, nyingi sana.
Waberoya:
ukiniambia jambo moja la intelligent au smart ambalo JM kafanya I will greatly appreciate you , saying that he his smart without tangible examples or proofs is not fair for yourself People can not be judged by the sins of their parents, however, let JM stand alone in this time, please give me evidence to support your argument.
FMES:Wasifu wa Januari Makamba.
1. Mr. January Y. Makamba, Chair of the Africa Working Group at the Institute for Conflict Analysis and Resolution (ICAR), Fairfax, Virginia.
2. Recipient of the Brenda Rubenstein Scholarship at ICAR, Mr. Makamba is also an International Organization Fellow of the UN Association and Intern at the Academy for Educational Development in Washington D.C.A MS degree in Conflict Analysis and Resolution from George Mason University will be awarded in May 2004,
3. following his BA degree in Peace and Conflict Studies from Saint John's University (Minnesota) in 2002.
4. Mr. Makamba worked for AFRICARE as Assistant Camp Manager of the Mtabila II Refugee Camp, Kasulu, Tanzania from 1995 to 1997, where he oversaw the management of a camp of more than 60,000 Burundian refugees.
5. Later he worked summers as a Protection Assistant/Intern with the UNHCR Sub-Office in KasuluThe Carter Center (2002), and as a Researcher/Intern in the Ministry of Foreign Affairs of Tanzania, researching conflicts in the Great Lakes region of Africa as they relate to national policy (2003).
6. Mr. Makamba (2001), as an Election Observer/Human Rights Intern in Atlanta and Sierra Leone with has built an extensive network of activists in politics and civil society in East and Central Africa.
7. Asisstant to the President of Tanzania, since 2005 to this date.
- Kwani ni wapi ambako hakuwahi kusimama mwenyewe? Una maana alipokuwa shule hakuwa mwenyewe, au alipokuwa shuleni US hakuwa mwenyewe? Na kule kwenye kambi za wakimbizi nako hakuwa mwenyewe? Je wasaidizi wote wa sasa wa Rais ni watoto wa viongozi kwamba waliombewa na baba zao kama unavyotaka kusema on Januari?let JM stand alone in this time,
"Mkuu pole pole hapo, sio kwa sababu Chenge aliyesoma Havard ni mwizi basi wengine wote tulioenda shule ni wezi, yes! ninasema Januari ni kijana smart na very intelligent WHY? Kwa sababu sio wa-Tanzania wote wameweza ku-accomplish kama yake katika umri alionao, na it has nothing to na Chenge wala baba yake, the guy is smart and very intelligent no wonder amekuwa msaidizi wa Rais for over four years now wakati tunawajua wengine wengi waliotemwa tayari na mapema sana.
Hapo ndipo ninapopingana Great Thinkers wenzangu;JM akagombee Ubuge Bumbuli kwa sababu katiba inamruhusu kufanya hivyo lkn kumuita very smart kwa sababu tu kamaliza degree zake akiwa na umri wa ukijana sio ndiyo kigezo cha kuja kuwa kiogozi bora;tumewaona wengi wenye elimu kubwa zaidi ya JM wakashindwa kuisukuma TZ mbele! Nasisitiza tena hana utofauti na wengine walioenda kuomba ridhaa kabla yake wawe wabunge wa Bumbuli,na kumtofautisha JM na akina Sherukindo bila kutaja hizo accomplishments zake zimewanufaisha vipi watz wa kawaida na hasa wa Bumbuli kuna nishangza zaidi mimi!
- So far hakuna mahali popote ambapo Januari amesema anything, tunajadili hii ishu ambayo kwanza haijathibitishwa na ungekua umetoa mawazo kama hay toka mwanzo, huu mjdala ungekua tofauti kuliko ulivyo sasa,JFK aliwahi waambia USA hivi "Change is a law of life and those who look only to the past or present are certain to miss the future"JM ni labda kweli ni smart kwa darasani ;lkn JM awaambie wana Bumbuli alikuwa na mipango gani endelevu kwa jimbo hilo na nini hasa kimemsukuma kugombea?Then wana Bumbuli watampima kwa vigezo vyao kama anawafaa!