Confirmation Code ya Whatsapp

koncho77

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
7,813
Reaction score
10,446
Wakuu naomba msaada wenu nimeinstall whatsapp kwenye device yangu ila kila nikiverify confirmation code hawanitumii sms kwenye simu yangu
 
Opt hapo pa kupigiwa, watakupigia na kukutajia hizo codes
 
Unatumia mtandao gani mkuu

Hakikisha no ulioweka ipo on kwenye simu na umeiandika kwa usahihi

Au chagua wakupigie
 
Unatumia mtandao gani mkuu

Hakikisha no ulioweka ipo on kwenye simu na umeiandika kwa usahihi

Au chagua wakupigie
Natumia vodacom na namba ipo on na nikichagua wanipigie naambiwa namba yangu haifikiwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…