Condom Nyingi zina expire mwaka huu, hatua zichukuliwe

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
16,054
11,567
wakati wa Rais Bush wa Marekani Tanzania ilipata misaada mingi ya kibinadamu zikiwemo vyandarua kinga salama na ARV, pia tulijengewa uwezo kupitia shirika la misaada la kimarekani. Bush hakuishia hapo alitupatia fedha za maendeleo kupitia mradi wa millennium challenge, tukapata umeme wa nafuu na miradi chungu mzima ya maendeleo.

Kaja huyu mswahili mwenzetu yeye katupiga sound tu pamoja na kumdekia barabara. Sasa stock ya vifanyio imekwisha na nyingi zina expire mwaka huu na tayari wateja wameshaanza kulalamika zinaharufu mbaya kama vile zimeoza na dadapoa wanalalamika zinawawasha wanapozitumia.

Waziri Ummy wachana na changudoa kwanza lishughulikie hili vinginevyo hali itakuwa mbaya zikiadimika sijui utaweka bei elekezi. vifanyio kama rough rider hazipatikani tena, na hizi life guard zimesha expire na hao unaotaka kuwakamata hawazitumii tena.
 
ImageUploadedByJamiiForums1457621044.436104.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1457621056.594971.jpg

mnachojua ni uzinzi tu
 
Back
Top Bottom