Simon Adebisi
JF-Expert Member
- Aug 7, 2018
- 1,289
- 2,487
Kwani virusi vinakaa kwenye manii pekee ?Samahani...unapataje virusi na uweze kuzuia mimba?
Kwani virusi vinakaa kwenye manii pekee ?
Ina maana huwezi pata HIV mpaka damu ihusike ? Au hata friction ndogo ndogo inaweza kusababisha virusi kuingia.... nielimishe hapoSasa iwe nyepesi kuweza kupitisha damu ila iwe ngumu kuzuia manii..
Anyway, ndiyo maana nimeuliza
Ina maana huwezi pata HIV mpaka damu ihusike ? Au hata friction ndogo ndogo inaweza kusababisha virusi kuingia.... nielimishe hapo
Inawezekana ni kweli mkuu ila wanacover tu watu wasigundue... lisemwalo lipoNi naomba kujua hivi ile ishu ya kontena za condom mpya kukutwa zikiwa na virusi,je ilikuwa kweli au stories za vijiwe vya kawaha?
fafanua zaidi, kauli yako ni tata..Kupata chanjo ya ukimwi inawezekana sana il shida sasa haya makampuni ya kutengeneza hivi vitu yatakufa sahau kwa hivi vitu
Bila shaka itakuwa yale mafuta yanawekewa kimiminika chenye vijidudu vya kuzui mimba.. ni kwa mtazamo wangu tu.Samahani...unapataje virusi na uweze kuzuia mimba?
Sio kweli TBS ni bendera kifata upepo ndio maana kila siku wao wamekua kama dalaja la kuvushia vitu vyenye athari kwa binadam kikubwa viwe vimelipiwa kodi tu.Sidhani kama maabara zinazoverify ubora wa condom ni zao tu,nadhani kuna mamlaka pia hujiridhisha,pia hata hapa kwetu nadhani TBS pia sana maabara ya kuangalia ubora
Nakubaliana na wewe sidhani kama TBS wana meno ya kuzuia bidhas za mashirika makubwaSio kweli TBS ni bendera kifata upepo ndio maana kila siku wao wamekua kama dalaja la kuvushia vitu vyenye athari kwa binadam kikubwa viwe vimelipiwa kodi tu.
Na huo ndio ukweli, kwan kuna bidhaa ngapi mtaani zipo chini ya kiwango tena zingine zikiwa zina athari kwa matumizi ya binadam lakini mwisho wa siku zipo na zina uzwa..Nakubaliana na wewe sidhani kama TBS wana meno ya kuzuia bidhas za mashirika makubwa
Achana hata na TBS lakini nilichomaanisha hata huko kwenye viwanda vya condom mfano USA wana regulatory body kama FDA(food and drugs authority)kuangalia ubora wake,sasa haiwezi kuwa ni suala na kiwanda na kiwanda kupanga njama na ikafanikiwa labda waamue kushirikiana pia na mamlaka husika, maana hakuna kinachoshindikanaSio kweli TBS ni bendera kifata upepo ndio maana kila siku wao wamekua kama dalaja la kuvushia vitu vyenye athari kwa binadam kikubwa viwe vimelipiwa kodi tu.
Hivi unajua ni kwa kiasi gani mzungu anamchulia mwafrica? Kwani ni vitu vingapi wanatuletea mf simu bandia lakini hawajali pale zitakapotulea cancer ya ubongo? hata uwepo wa ukimwi si kwamba ulikuja kwa bahati mbaya, rahasha.. ila ulikija kwa lengo la kumuua mwafrica na kuhusu suala la maslahi limekuja kama ziada tu.Achana hata na TBS lakini nilichomaanisha hata huko kwenye viwanda vya condom mfano USA wana regulatory body kama FDA(food and drugs authority)kuangalia ubora wake,sasa haiwezi kuwa ni suala na kiwanda na kiwanda kupanga njama na ikafanikiwa labda waamue kushirikiana pia na mamlaka husika, maana hakuna kinachoshindikana