Wamarekani wengi wanajua kuwa wameuziwa mbuzi ndani ya gunia.
Wamemchagua tena kwa sababu wakiwatizama GOP wanatisha zaidi. Obama anacheka cheka, kijana, handsome, mtoto wa mjini.
Obama anawambia wamarekani kuwa waendelee kujitahidi,watapata "american dream"...Alichosahau kuwaeleza ni kuwa huwezi kupata ndoto bila kulala.