goodtronics hardware
Member
- Dec 11, 2021
- 45
- 55
Chief hapo concealed ni bomba ya kupitishia maji, utofauti wake ni kwamba kuna nyingine bomba zinapitia juu ya plasta!Kwani shower nyingine zikoje? What is concealed here? Mbona kawaida tu
Aisee! Basi mimi nimezoea kuona bomba zote zinapita ndani ya ukuta nikajua ni kawaida tu.Chief hapo concealed ni bomba ya kupitishia maji, utofauti wake ni kwamba kuna nyingine bomba zinapitia juu ya plasta!
Tofauti na nyingine yenyewe mashine ya mixer inakua imechimbiwa ukutani alafu shower rose na mkonga wake unapokea maji toka ukutani via pipes zinazokua zimechimbiwa.Kwani shower nyingine zikoje? What is concealed here? Mbona kawaida tu
Kuna design nyingine zipoAisee! Basi mimi nimezoea kuona bomba zote zinapita ndani ya ukuta nikajua ni kawaida tu.
Hii frame unayo ya 90x120.?
750,000/=Hio frame inauzwaje?? ikiwa na vioo vyake
Hapana sina size hiyoHii frame unayo ya 90x120.?
Yes sio mbaya