Shukrani nyingi ziwafikie kwenu wadau na watumiaji wa mtandao huu pekee Tanzania.
Natafuta laptop used aina ya toshiba au dell au hp.
Bei yake iwe walao laki tatu kamili na isizidi laki tatu na ishirini.
Tafadhali mwenye nayo, au yeyote unayemfahamu ipo sokoni, tuweze kuwasiliana kwa namba ifuatayo..
0754004189 au 0765285964
Tafadhali, usomapo tangazo hili umjulishe na mwenzako kwa sababu ni most wanted..