erco6 Member Joined Nov 28, 2011 Posts 10 Reaction score 2 Dec 25, 2015 #1 jamaani msaada computer yangu ni desktop imexika ghafla nimejalibu kuangalia nimeshndwa ambae anaujux anisaidie
jamaani msaada computer yangu ni desktop imexika ghafla nimejalibu kuangalia nimeshndwa ambae anaujux anisaidie
R Ramso11 Member Joined Jun 5, 2011 Posts 62 Reaction score 22 Dec 25, 2015 #2 imezima mara moja au inazima kila mara na baada ya muda gani? kama nikila mara jaribu kuangalia ka feni inafanya kazi na joto lake na pia angalia kama kuna vumbi maeneo ya feni hua inaleta tatizo la kuzima mara kwa mara.
imezima mara moja au inazima kila mara na baada ya muda gani? kama nikila mara jaribu kuangalia ka feni inafanya kazi na joto lake na pia angalia kama kuna vumbi maeneo ya feni hua inaleta tatizo la kuzima mara kwa mara.
erco6 Member Joined Nov 28, 2011 Posts 10 Reaction score 2 Dec 26, 2015 Thread starter #3 nikiiwasha inawaka taa tu but inakuwa umeme aufk kwenye fen maana atafen aizunguki