I mean, nikiiwasha screen inawaka inawaka then haiendelei process ya kufunguka. Jana nilikuwa natumia internet kwa mordem ya airtel gafra ikastak nikajaribu kuizima kwa kulazimisha ikazima nilipojaribu kuwasha tena haikuwaka tena, hata menu ya kuboot haiji..
Kama ulichukua mali mpya au used zilizo kwenye hali nzuri, ulipewa CD zake zote.
Hivyo, chukua cd iliyoandikwa Operating System, washa komputa yako, fungua cd rom, weka cd hiyo halafu restart
Fuata maelekezo, nakushuri install upya hiyo kitu