beka the boy
Senior Member
- Nov 6, 2018
- 167
- 96
Jibu ni unaweza usipoteze kama una utaalam na data management au IT kwa ujumla, na unaweza upoteze kama huna utaalam
User data including operating system zinatunzwa kwenye hard drive au SSD kwa newer models.
Uki Badilisha motherboard suppose motherboard unayoweka si same brand and model, operating system haitoweza kufanya kazi hivyo itakulazimu kufanya re-installing (kama motherboard utakayobali ni sawa na unayotoa OS itafanya kazi unless license issues suppose ulikua na genuine operating system)
Kwenye re-install ndio inaweza kuleta tatizo la kupoteza data kama huna utaalam sababu installation process inaweza kuhitaji ku format hard drive, kitu ambacho ukifanya ndio unafuata kila kilichopo kwenye hiyo disk
Hivyo Unachotakiwa kufanya ni kuepuka disk formating, otherwise all the best
Masaihost.com
Web designing and Web hosting solutions
Hata kama ikawa na cpu yake?Mzee hupotezi chochote, labda sasa ubadili Na harddisc.
Mzee hembu weka mambo yaeleweke.
Jibu ni unaweza usipoteze kama una utaalam na data management au IT kwa ujumla, na unaweza upoteze kama huna utaalamNdugu wabobezi wa maswala ya computer upande wa hardware, napenda kuuliza, hivi ukibadilisha mother board naweza kupoteza vitu vyangu nilivyohifadhi katika computer husika? Nikimaanisha windows na other stuffs katika local disc D!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee hembu weka mambo yaeleweke.
Kwanza unazungumzia Computer mpakato au Desktop?
Oky ngoja tuseme ni desktop.
CPU si ndio computer yenyewe, ndio motherboard, kubadilisha housing hakuaathiri chochote,
Sasa wewe cpu yake nyingne unayozungumzia ni ipi?
Be blessed brother,,ninayotaka kuweka ni exactly the same as ninayotoa!!Jibu ni unaweza usipoteze kama una utaalam na data management au IT kwa ujumla, na unaweza upoteze kama huna utaalam
User data including operating system zinatunzwa kwenye hard drive au SSD kwa newer models.
Uki Badilisha motherboard suppose motherboard unayoweka si same brand and model, operating system haitoweza kufanya kazi hivyo itakulazimu kufanya re-installing (kama motherboard utakayobali ni sawa na unayotoa OS itafanya kazi unless license issues suppose ulikua na genuine operating system)
Kwenye re-install ndio inaweza kuleta tatizo la kupoteza data kama huna utaalam sababu installation process inaweza kuhitaji ku format hard drive, kitu ambacho ukifanya ndio unafuata kila kilichopo kwenye hiyo disk
Hivyo Unachotakiwa kufanya ni kuepuka disk formating, otherwise all the best
Masaihost.com
Web designing and Web hosting solutions
Kama ni Windows 10 ndio ulikuwa unatumia, hupotezi chochote...Ndugu wabobezi wa maswala ya computer upande wa hardware, napenda kuuliza, hivi ukibadilisha mother board naweza kupoteza vitu vyangu nilivyohifadhi katika computer husika? Nikimaanisha windows na other stuffs katika local disc D!
===
Maoni yaliyotolewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah ni window 10Kama ni Windows 10 ndio ulikuwa unatumia, hupotezi chochote...
Uko salama... ni kuichomeka tu hdd yako, kisha unaendelea na kazi kama awali.
Uko salama... ni kuichomeka tu hdd yako, kisha unaendelea na kazi kama awali.
Mrejesho;hakuna kilichopotea inapiga kazi as usualUko salama... ni kuichomeka tu hdd yako, kisha unaendelea na kazi kama awali.
Samahani kwa usumbufu wa maswali! Hiyo motherboard ulinunua dukani au ni used kutoka ktk broken PC?
Used niliagizia mtandaoni lkn (Ali express)Samahani kwa usumbufu wa maswali! Hiyo motherboard ulinunua dukani au ni used kutoka ktk broken PC?
Sent using Jamii Forums mobile app