beka the boy
Senior Member
- Nov 6, 2018
- 167
- 96
Ndugu wabobezi wa maswala ya computer upande wa hardware, napenda kuuliza, hivi ukibadilisha mother board naweza kupoteza vitu vyangu nilivyohifadhi katika computer husika? Nikimaanisha windows na other stuffs katika local disc D!
===
Maoni yaliyotolewa
Sent using Jamii Forums mobile app
===
Maoni yaliyotolewa
Jibu ni unaweza usipoteze kama una utaalam na data management au IT kwa ujumla, na unaweza upoteze kama huna utaalam
User data including operating system zinatunzwa kwenye hard drive au SSD kwa newer models.
Uki Badilisha motherboard suppose motherboard unayoweka si same brand and model, operating system haitoweza kufanya kazi hivyo itakulazimu kufanya re-installing (kama motherboard utakayobali ni sawa na unayotoa OS itafanya kazi unless license issues suppose ulikua na genuine operating system)
Kwenye re-install ndio inaweza kuleta tatizo la kupoteza data kama huna utaalam sababu installation process inaweza kuhitaji ku format hard drive, kitu ambacho ukifanya ndio unafuata kila kilichopo kwenye hiyo disk
Hivyo Unachotakiwa kufanya ni kuepuka disk formating, otherwise all the best
Masaihost.com
Web designing and Web hosting solutions
Sent using Jamii Forums mobile app