[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aaah mkuu punguza ukali wa manenohuwezi hata kidogo kwanini kama ulitaka kusoma science elimu ya juu kwanini hukusoma science advance nani kakudanganya HGE ni science hivi watz nani katuloga ??? acha tamaa kasomee ualimu
Watu bwana jamaa anaona kabisa kuna neno pale "science" alaf anasema anataka kusoma huku ana ki HGE chake udahiliwe na nani hata kwa makosa haiwezekani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aaah mkuu punguza ukali wa maneno
Kamahuelewi plz bora utuliee sio lazima u jibu nimeuiza na maana yanguhuwezi hata kidogo kwanini kama ulitaka kusoma science elimu ya juu kwanini hukusoma science advance nani kakudanganya HGE ni science hivi watz nani katuloga ??? acha tamaa kasomee ualimu
Saws sawa humu kuna watu ishu za serious wanajibu mkatoKamahuelewi plz bora utuliee sio lazima u jibu nimeuiza na maana yangu
Serious yeye ndo hayupo serious hivi HGE hizo history n.a. economics we unaona zinaendana n.a. science hata kwa akili ya kawaida au kutuchosha tuSaws sawa humu kuna watu ishu za serious wanajibu mkato
Haha nimekusoma Mkuuu aisee huyu akasomee ProcurementSerious yeye ndo hayupo serious hivi HGE hizo history n.a. economics we unaona zinaendana n.a. science hata kwa akili ya kawaida au kutuchosha tu
udom anapata hiyo computer science alafu usiwe na rojo hiyo maneno yako makali sanahuwezi hata kidogo kwanini kama ulitaka kusoma science elimu ya juu kwanini hukusoma science advance nani kakudanganya HGE ni science hivi watz nani katuloga ??? acha tamaa kasomee ualimu
udom wanachukua ukiwa na principal za geog na economicsSerious yeye ndo hayupo serious hivi HGE hizo history n.a. economics we unaona zinaendana n.a. science hata kwa akili ya kawaida au kutuchosha tu
wenyewe wanasema ukitaka kumficha mbongo andika 2Dogo kwani kitabu cha TCU c kina muongozo tafuta ukakisome. Mambo mengine mnataka wenyewe kujibiwa shombo wakati kuna sehemu ya kupata majibu. Au ni uvivu wa kujisomea..