Computer repair and maintenance, Gongo la Mboto

Kaka,nina Samsung mini laptop,tatzo lake ni wino umevujia kioo.
Je,nini tatizo?nijuze gharama ya matengenezo nijipange faster
 
Mimi laptop ya kwangu ni sony VAIO, ina matatizo ya inverter kwa hiyo screen yake haionyeshi vizuri, unazo inverter za VAIO?
ndio mkuu hiyo invertor ipo nione
 
Kaka,nina Samsung mini laptop,tatzo lake ni wino umevujia kioo.
Je,nini tatizo?nijuze gharama ya matengenezo nijipange faster
kama wino umevuja kwenye kioo inabidi kubadili kioo, nitakubadilishia na kukufungia kwa 140,000
 
Laptop yangu ni Sonny vaio vgn-sr26 mkanda unaounganisha hard disk umekatika nawezapata?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…