Computer miaka 58 iliyopita na sasa

eheeeh uvumbuzi wakati mwingine unapunguza watu kupiga pesa.

sasa ten MB ZILIUZWA PESA YOTE HIYO?
 
eheeeh uvumbuzi wakati mwingine unapunguza watu kupiga pesa.

sasa ten MB ZILIUZWA PESA YOTE HIYO?
yaani Mb 10 kwa $3398,sahivi kwa pesa unapata computer kali tu na chenji inabaki...
 
Life is changing very fast. And Jesus is coming back very fast. Think about that.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…