kama ni hp laptop aina nyingi huwa zinachemsha ni fani imejaa vumbi, kama waweza fungua kwenye fani upulizepulize uondoo vumbi alafu uone kama inapiga mzigo. Kama haipigi basi lazima uinstal tena windows na back up file yake itaweza kukuondolea tatizo matatizo yakizidi basi funga virago kwa daktari wa pc